Wakuu habari,
Mimi nilikuwa mfuasi wa CHADEMA kindaki ndaki, baada ya Mdee na wenzake 18 kuasi, nilifunguka akili na kubaini kuwa hawa watu wanawatumia vijana kama mtaji ili kujipatia ajira za...
Jf oyee
Kwako Dkt. Ndugulile, vyombo hivyo Hapo juu vimekuwa vikilalamikiwa kwa kutokuwa makini, kweli vyombo hivi vinatumia gharama Kubwa kuwepo huku ufanisi Wa kazi upo chini sana.
Nikianza na...
Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea.
Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha...
Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili
Imeamriwa...
Lazima tukubali uchumi wa nchi yetu ili ukue kwa kasi katika kila kanda hasa kwenye miradi ya maendeleo kuna ulazima wa serikali kama wanaweza wagawe kanda za kiuchumi na kuwe na account...
Tume ya uchaguzi Zanzibar imesema wapiga kura takribani 566,000 ndio watakaoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Idadi hiyo inajumuisha wapiga kura wa Visiwa vya Unguja na Pemba waliojisajiri kwenye...
Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya .
Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae.
Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee...
Serikali imevunja mkataba na Mkandarasi aliyekuwa akitekeleza mradi mkubwa wa maji wa Same, Mwanga na korogwe, kutokana na kushindwa kuukamilisha kwa wakati.
Mradi huo ambao umegharimu zaidi ya...
Wanabodi, Salaam.
Nimeona kupitia mitandao ya kijamii kuhusu utenguzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Igunga mkoani Tabora leo tarehe 28 Desemba, 2020.
Kwa ujumla iwapo...
Nakumbuka kuna tume hii ambayo ilipigiwa chapuo na wakubwa wa government kuwa ndio itakayokuwa suluhu ya tofauti kubwa ya mishahara katika utumishi wa umma. Je hii tume mpaka leo haijakamilisha...
Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba...
Mtakuja na nyuzi zenu za kusifu serikali na kupiga matarumbeta but ukweli ni kuwa hii nchi under ccm ni good for nothing
Hebu imagine miaka 60 ya uhuru hadi leo maji tu bado ni shida.
Miaka 60...
Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia...
Hawa Kundani (mwenye vazi jeusi), anayedai kuzaa na kutelekelezwa na mbunge wa Dimani, Abdallah Sharia Ameir, akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuvamia kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba...
Anaandika Profesa Joseph Mbele
Mimi ninaufahamu vizuri utamaduni wa vyuo vikuu vya Marekani, kwa sababu nilisomea kule na ninafundisha kule. Nimeshatoa mihadhara katika vyuo vingi, sio Marekani...
Katika watu ambao hutakiwi kuwaamini dakika moja mbele ni Watanganyika hawaminiki kwa kitu chochote ni walaghac mabazazi,waongo wenye tamaa zisiso koma
Hawamiki katika kitu chochote ni wao...
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuweka taarifa ikionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 hadi 2020 imeweka bayana kipengele cha Bima ya Afya kwa wote.
Ilani hiyo chini ya Jemedari wetu mbeba maono...
Leo nikiwa kikazi Dubai ninasoma gazeti la Asubuhi GULF NEWS, JIJI la DUBAI latangaza budget yake ya 2021 kuwa ni US$ 15.5 Billions, Dubai lina wakazi 3.31m, Uchumi wa Dubai unategemea Biashara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Pombe Joseph Magufuli
I. UTANGULIZI
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020 umekwisha, ukiwa unasindikizwa na ukosoaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.