Na huo ndio ukweli mchungu.
Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa.
Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko...
Viongoz wote wa Umma wanaapa kuwatumikia wananchi na siyo kumtumikia Mhe Rais.
Lakini viongozi wengi wa Umma wamejikita kumtumikia Mhe Rais kuliko wananchi.
Rais ni binadamu mwenye mapungufu...
Habari wanaJF,
Huyu anafahamika kwa jina la Ameir. Ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Kilosa.
Kama mnakumbuka huyu alishawai kutajwa na waziri wa ardhi mh Lukuvi mbele ya Rais...
Miaka ya nyuma kipindi cha Mwinyi na Mkapa makundi haya yalisaidia sana kukikosoa chama na serekali. Alipoingia JK hadi mda huu wapo kimya ama wanashabikia kila jambo. Nini kimetokea?Ndio maana...
Binafsi nimefurahishwa na jinsi Waziri wa Afya alivyoanza kazi.
Anaonekana mtu mwenye kuelewa wizara yake inavyofanya kazi, ina changamoto zipi na ana dira ya maboresho yanayohitajika kuleta...
Engineer Zena Ahmed Said kutoka Wizara ya Nishati ateuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar
Bi Zena Ahmed Said(Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati)
Ndugu zangu,
Tumeingia mwaka 2017. Maisha binafsi na ya taifa lazima yasonge mbele.
Ni kwa kutekeleza kwa vitendo yale tuliyoazimia, kwa binafsi yetu na kama taifa.
Kuna ya kujifunza kutoka...
Habari za leo wakuu,
Uzii huu utakuwa maalum kuijadili sera yetu ya viwanda.
Bila kutukana wala kumnyoshea mtu yeyote kidole, naomba kila mmoja atoe maoni yake.
Mada: Wewe unahisi sera yetu ya...
Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.
1. Hawa...
Dar es Salaam. CHADEMA imeanza kutumia nguvu ya mahakama kupinga mchakato wa uteuzi wa wabunge 19 wa viti maalumu na mtu aliyesaini fomu zao kwa nafasi ya katibu mkuu.
Chama hicho kilistahili...
Ukiangalia TV mathalan chanel Ten Rais Hussein Mwinyi yupo Live akipokea changamoto mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa sekta ya afya Zanzibar ,ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kwamba tukianza...
Wakuu yawezekana hii mada ilishawahi jadiliwa humu huko nyuma lakini naomba mniwie radhi kwa kuwarudisha nyuma. Nimekuwa kila nikienda hospital mbalimbali kwa ajili ya matibabu najiona kama pekee...
Natoa onyo kwa Watanzania wote wenye mapenzi na nchi yao tusipende kushabikia mambo bila kuyachuja kama yana manufaa kwetu.
Hii dhana ya kutumbua majipu, imeipatia sifa serikali ya awamu ya tano...
Mimi nitawapatia vituko vitatu tu.
Mosi, kuna waziri mkuu wa taifa fulani alijivika umasihi eti kaliponya taifa lake dhidi ya korona. Akaitumia hii kama kiki kujipa umaarufu wa kisiasa ktk nchi...
Kwaheri 2020 Karibu 2021.
Tutaikumbuka 2020 kwa ushindi wa kihistoria wa CCM ambao haujawahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uasisiwe.
Tutaikumbuka 2020 kwa kufeli kihistoria kwa...
Mwanamuziki wa kughani mashairi mrisho mpoto kwenye wimbo wake wa mjomba anasema "mjomba kuanza upya sio ujinga" ndio tuanze upya kwa hoja tatu
1. Tulidanganywa kuwa jopo liliongozwa na waziri...
Mahakama kuu Kanda ya Arusha leo Alhamis Desemba 31 imewapa dhamana wafuasi 19 wa Chadema waliokuwa watuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Dhamana hiyo imetolewa na Jaji wa Mahakama hiyo...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) zilipe shilingi bilioni 30 ndani ya mwezi...
Wanabodi hapa JF ninyi ni mashahidi jinsi wapinzani Tanzania walivyopinga utaratibu wa kisheria wa mtuhumiwa wa baadhi ya makosa ya jinai hasa uhujumu uchumi kuingia mkataba na DPP ili kukiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.