Usanii fursa za ufadhili wa masomo (Masters na PhD) chini ya mradi wa TANIPAC (Tanzania initiative for preventing aflatoxin contamination)

Aug 29, 2013
48
125
Unaweza kuuita ni usanii uliopangwa na watu wanaosimamia mradi wa TANIPAC unaofadhiliwa na bank ya maendeleo ya Africa. Watu hawa walihadaa watanzania kuomba ufadhili wa masomo hukuwakiwa na watu wao tayari wamewachagua.

Habar za chini chini zinasema walikuwa na lengo la kukusanya mawazo ya tafiti (proposal) kwaajiri ya watu wao. Watu hawa wameshikiana na baadhi ya Wahadhiri kutoka chuo cha Nelson mandela wakiwa na makubaliano ya namna ya kucheza na fund za tafiti hizo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom