Uteuzi: Amos Maganga ateuliwa Mkurugenzi Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
Uteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.

Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.

Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco

Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi
 

Attachments

  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 1
Kwani wewe ungependa Dr Kimei awe mkurugenzi wa REA? Au umejiskia tuu kutumia jina lake kuchochea chuki na kabila?
Mwacheni baba wa watu akahesabiwe pamoja wapiga kura wake😁😁😁
Kimei hana uwezo wa kuongoza REA..
 
Back
Top Bottom