CAG Kichere alikuwa mkuu TRA, anayajua vizuri madudu yote ya TRA

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
9,358
2,000
Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo.
  • Ubambikaji kodi
  • Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki.
  • Kufungia biashara.

Hawezi leo kuwa benchmark ya ukweli.
(NB alikuwa mhasibu TANROADS)
 
Blood of Jesus

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,444
2,000
Awamu ya tano imesababisha mioyo ya watu wengi kuvuja damu, machozi mengi machoni. Msababishi mkuu ni yule mtu katili, ambaye kimsingi kwa sasa "anakula kazi" huko kuzimu. anavuna alichokipanda.

YESU NI BWANA.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,454
2,000
Two wrongs do not make a right..
Kama yeye aliwahi kosea huko nyuma
Haihalalishi wengine wakosee na wasiguswe
 
masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
15,559
2,000
Mkono ule ule ulio nyang'anya akiwa TRA ndio mkono ule ule unaandika ufisadi wa wngine?

Tuna standards kweli?
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
1,828
2,000
Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo.
-Ubambikaji kodi
-Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki.
-Kufungia biashara.

Hawezi leo kuwa benchmark ya ukweli.
(NB alikuwa mhasibu TANROADS)
Watendaji wote wa serikali hii ya CCM wanahusika,ni vile hupenda kuwajibisha wenzao ila wao hapana. Kama mafarisago wanafiki wenye kuwatwika watu mizigo mizigo ila wao hawaigusi ngaa kwa kimoja cha vidole vyao.
 
masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
15,559
2,000
Watendaji wote wa serikali hii ya CCM wanahusika,ni vile hupenda kuwajibisha wenzao ila wao hapana. Kama mafarisago wanafiki wenye kuwatwika watu mizigo mizigo ila wao hawaigusi ngaa kwa kimoja cha vidole vyao.
Unafiki Republic!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom