Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,678
- 218,188
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL, kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato.
Hayo yamebainishwa na ofisa wa shirika hilo Mh Kavishe.