Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
U-turn signals za Rais wa kambo wa JMT zimesababisha mawimbi ya unafiki kutamalaki miongoni mwa viongozi wanaotokana na chama tawala (CCM)!
U-turn signals alizotuma Rais wa kambo bila shaka zimekuwa encouragement kubwa sana kwa Speaker Ndugai, kwa mfano, kurudia dili lake la Bandari ya Bagamoyo, ambalo aliamua kulitelekeza enzi zile za Rais asilia wa JMT, Hayati JPM.
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo wasiwasi unavyozidi kuongezeka juu ya utashi na uwezo wa Rais wetu wa kambo kuitafsiri na kuitekeleza ilani ya chama chake (CCM) ya 2020-2025.
Bahati mbaya sana, CCM yenyewe sasa iko katika hali tete kuliko wakati mwingine wowote, kwa sababu ya leadership vacuum kwenye ngazi ya taifa. Hiki ni kipindi ambacho viongozi wanaotokana na CCM walipaswa kuwa makini kuliko kipindi kingine chochote.
CCM ina uamuzi mgumu wa kufanya. Inabidi ichague kuishi au kuishia. Kuchagua kuishi maana yake kuchagua kuendelea kusimamia utekelezaji wa ilani yake bila kuyumba. Kuchagua kuishia ni kuchagua kuiweka pembeni ilani yake na kukumbatia U-turn signals ambazo Rais wa kambo na baadhi ya viongozi wengine wanazituma. Hakuna namna ambayo chaguo la kuishia litaiacha CCM salama. Mwaka 2025, CCM lazima ipoteze ridhaa ya kuongoza taifa hili.
Chaguo ni lenu CCM. Chagueni kuishi au kuishia!