Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekua nafuatilia sanaa na sayansi ya majina kwa ukaribu japo sio kwa sana. Na leo pia nimeamua kutafiti kwenye mtandao maana ya jina Samia. Nimekutana na tafsiri nyingi ila kwa sasa naomba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
The best speech ever kutoka kwa mkuu wa mkoa bora kabisa tangu hii nchi ipate uhuru,tumekaribia kufika nchi ya ahadi TUPO PAZURI MNOO,NARUDIA TUPO PAZURI MNOOO Watakuja hapa vibaraka wa mabeberu...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Chama cha CUF kimesema Serikali inatakiwa kuweka wazi upembuzi yakinifu ya miradi inayotekelezwa ikiwemo ya SGR, ufuaji wa umeme na uimarishwaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amesema Baraza Kuu la Chama hicho limetoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Uongozi wake kuheshimu Sheria zinazoruhusu kufanyika mikutano ya hadhara na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kipindi cha JK kulikuwa na pilika pilika kuhusu huu mradi. NSSF walikuwa bize sana ili waukamilishe. Kwa enzi hizo, 600 MW ilikua kama nusu ya umeme wote tuliokuwa tunazalisha. Ikumbukwe kuwa...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Nakumbuka siku Rais anawaapisha mawaziri na makatibu wakuu alitoa maagizo mengi.Baadhi ya maagizo. 1. Waalimu 6000 waajiliwe mara moja ili kufanya mbadala walioacha kazi na kustahafu. Lakini...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa mambo ya nje Augustino Mahiga amesema ipo siku wageni wataanza kuzamia Tanzania kama waafrika wanavyozamia ulaya na kutaka nchi ianze kutengeneza mkakati mzuri juu ya uhamiaji Pia...
5 Reactions
101 Replies
10K Views
Ndugu zangu watanzania, Hii nchi sio ya Ndugai wala Wabunge, hii nchi ni yetu sote sisi na watoto wetu. Kumbukeni hatuna sehemu duniani ila hapa Tanzania. Huu ujenzi wa bandari hii ni kujifunga...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
22 Reactions
20 Replies
2K Views
Mheshimiwa Jakaya Kikwete Rais wa awamu ya nne amekuwa akishikwa uchawi siku za karibuni baada ya kifo cha Rais wa awamu ya Tano John Magufuli. Zinatembea mitandaoni sauti za kurekodiwa (audios)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu...
161 Reactions
638 Replies
49K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ikulu, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya...
13 Reactions
250 Replies
62K Views
Wakati wa uhai wake Hayati Magufuli aliupinga mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na alisema nii kichaa pekee ndiye anaweza kukubali masharti ya mradi. Pia wakati wa uhai wake viongozi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Ninachoona kwa Taifa letu ni kuondoka kwa mgawanyiko wa mawazo, itikadi na falsafa kulingana na mtizamo wa vyama vya siasa na kuingia kwenye mgawanyiko wa mlengo wa kimaslahi! Hii ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Enyi wana wema mliojirani na Rais Samia Suluhu Hassan mstueni bega ageuke nyuma aone kwa macho yake mawili, asikie kwa masikio yake mawili then atumie ile rula ya kupima mabega ya wateule...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Dr. Christopher Cyrilo anaandika. Unaona nini? Unamuona Rais mwenye unyenyekevu na mkuu wa mkoa mwenye unyenyekevu zaidi? Au mtu mwenye suti ya kijivu aliyeduwaa? Au walinzi wenye 'rain...
15 Reactions
26 Replies
3K Views
Je, tunamshauri Rais mpya aendelee na miradi yote aliyoanzisha JPM au aendeleze ile miradi yenye tija kwa Taifa na pia aanzishe miradi ya ndoto zake? Hapa Kuna miradi yakitaifa na miradi ya maono...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale...
13 Reactions
67 Replies
6K Views
Baada ya kuangalia Bunge la Jana na kila hoja Ya mbunge Alie simama kuitoa nilihis Matumain mapya Kwan Wabunge Jana walifanikiwa kutuma ujumbe mzur kwa Watanzania wazalendo wenye kuipenda nchi yao...
0 Reactions
6 Replies
935 Views
Mhe.Msukuma, Kiongozi wa Wabunge Wasomi wa Darasa la Saba, Mbunge Swahiba wa Hayati. Mzeee wa kulipua maVXR V8. Tunasubiri kauli yako kama itakuwa ile ya U-turn au itakuwa ya kufuta hizi kauli za...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom