Akiwa kama Waziri wa fedha ana majukumu mazito ya kumsaidia Rais kukuza uchumi wetu na kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja. Ni wazi uchumi wetu umedorora na unahitaji juhudi kubwa sana huku...
Kuna wazee wastaafu ambao wameondolewa kwenye orodha ya wanaolipwa pensheni ya kila mwezi wakidhaniwa tayari wamefariki! Maafisa wa NSSF wanadai wamewaondoa ili pensheni zao zisichukuliwe na...
Wabobezi wa siasa, nijengeeni uwezo!
Kanda ya Magharibi - yenye mikoa ya Kigoma na Tabora ndiyo haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - nalenga Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu.
(a). Orodha...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema...
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo amesema ni jambo linaofahamika kwamba Mashirika mengi ya Ndege yanapata hasara Duniani na na biashara yoyote inayofufuliwa haiwezi kuanza kupata faida hapohapo...
Mama shikamoo. Nilisahau kukwambia siku moja kuwa makeup ilizidi kidogo wakati wa kuwaapisha mawaziri. Pia, nimependa uvaaji wako. Hata hivyo, achana na nguo zenye maua maua. Embrace plain...
Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao .
Leo ilikuwa zamu ya...
Mwendazake alinyenyekea-nyenyekea kipindi cha uteuzi pale na kampeni baada ya kukalia kiti hamkuheshimu mtu, hadi wanaCCM nao wakapigwa na butwaa wakajiuliza eh huyu ndio yule yule, Viongozi wakuu...
Ndugu zangu,
Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu wa juzi (mwaka 2021)...
Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo.
Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu...
Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza...
Mh. Rais Magufuli atuongezee mishahara watumishi. Mwaka wa fedha 2016/2017 umeshaanza lakini watu atujaongezewa ata tshs. 10...Watumishi tulimpigia kura kwa wingi kwasababu tulijua ni mchapa kazi...
Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka...
UCHAMBUZI WA ACT WAZALENDO KUHUSU RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA MWEZI JUNI 2019/2020
Tunalipia Gharama za kuendesha Nchi Gizani...
Kwanza Nimesikitika Kushuhudia Kuna viongozi wateule wa Hayati JPM wamefanya Alliance na kina Mbowe Ili Kuchafua Kazi tukufu iliyofanywa na JPM...(rejea takataka za CAG na Press ya Mbowe Jana)...
Kwa siku kadhaa pamekua na mjadala mkali sana juu ya ripoti ya CAG iliyoanika madudu mengi ya matumizi mabaya na ya hovyo kabisa ya fedha za Umma. Katika mjadala huo, viongozi, wafuasi na...
Siyo siri TRA imekuwa ikitumika kuwakomoa wafanyabiashara wengi.
Sasa mmeanikwa.
Ukiwa mfanya biashara halafu mpinzani kama Mbowe, basi vijimemo "toka juu" ndiyo vinashughulikiwa kwa "weledi wa...
Waziri amenukuliwa akisema;
"Matengenezo yakamilike, sitaki kuona kuna mgao wa umeme, matengenezo yakamilike hali ya umeme irejee kama kawaida"
Pia soma >TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa...
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.