“Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa...
TAIFA LINALOTAKA MAENDELEO, NI LAZIMA LIZINGATIE UADILIFU
Na Elius Ndabila
0768239284
Mjadala unotawala hivi sasa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii nchini, ni kuhusu ripoti ya Mdhibiti na...
Wadau habari,
Napenda ifikie wakati tufungua mjadala mpana wa uwepo au kutakuwepo kwa Bodi ya Kitaalamu ya Walimu Tanzania (Tanzania Teachers' Professional Board) TTPB.
Tumekuwa na sintofahamu...
Watanzania kama tuko makini na tunajifunza kutokana na makosa, hoja yetu kuu kuhusu huu mradi kwa sasa inapaswa kuwa ni mkataba husika kuwekwa wazi kwa umma ili kwanza watanzania wajue kilichomo...
Ni ukweli usiopingika kuwa mfumo uliopo sasa hivi unaoongoza nchi yetu ni mfumo uliosukwa na hayati Magufuli, hivyo siyo rahisi kwa rais aliyepo kuoneasha mabadiliko makubwa na ya kushangaza...
Nimesikia vizuri mchango wa Prof. Muhongo bungeni na kutafakari kwa makini. Nilichosikia ni takwimu na maelezo yaliyoshiba ukweli na uhalisia wa hali ya sasa ya dunia. Amechambua namna gani...
Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15%
Amesema, sheria huwa...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema atazingatia maslahi ya watumishi wa umma ikiwamo nyongeza ya mishahara, malipo ya wastaafu na kupandiswa kwa...
Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele.
Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman...
Wana Bodi, Salaam.
Je, Watanzania hatuhitaji tume ya ukweli na upatanisho kama ile ya South Africa kushughulikia masuala ya uvunjanji wa haki za kibinadamu kwa kipindi cha miaka mitano ya...
1. Mkandarasi amekula milioni 348 bila kufanya kazi
2. Mradi wa milioni 528 hautoi maji. Mkandarasi kasepa
Najiuliza nguvu anayotumia Spika kummaliza Tundu Lissu kwa nini haitumii kusimamia...
Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo.
Wanajenga mali yao wenyewe.
Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99.
Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale...
Rejea kichwa cha habari hapo juu mara kibao tumewasikia wadau mbalimbal kutoka kada tofauti wakilalamika kuhusu utendaj kazi wa tume ya uchaguzi wengine wamefika mbali zaidi kwa kukosoa...
Tangu ateuliwe kazi yake kubwa ni kushindana na wafanyabiashara hasa asiowapenda yeye. Kama angekuwa serious na kazi za Wizara hii ya fedha na mipango hadi sasa angalau angekuwa amekutana na...
Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani?
Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni...
Nimekua nafuatilia sanaa na sayansi ya majina kwa ukaribu japo sio kwa sana.
Na leo pia nimeamua kutafiti kwenye mtandao maana ya jina Samia. Nimekutana na tafsiri nyingi ila kwa sasa naomba...
The best speech ever kutoka kwa mkuu wa mkoa bora kabisa tangu hii nchi ipate uhuru,tumekaribia kufika nchi ya ahadi TUPO PAZURI MNOO,NARUDIA TUPO PAZURI MNOOO
Watakuja hapa vibaraka wa mabeberu...
Chama cha CUF kimesema Serikali inatakiwa kuweka wazi upembuzi yakinifu ya miradi inayotekelezwa ikiwemo ya SGR, ufuaji wa umeme na uimarishwaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Mwenyekiti...
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amesema Baraza Kuu la Chama hicho limetoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Uongozi wake kuheshimu Sheria zinazoruhusu kufanyika mikutano ya hadhara na...
Kipindi cha JK kulikuwa na pilika pilika kuhusu huu mradi. NSSF walikuwa bize sana ili waukamilishe.
Kwa enzi hizo, 600 MW ilikua kama nusu ya umeme wote tuliokuwa tunazalisha.
Ikumbukwe kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.