Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna vitu ukiviamini kwa asilimia 100 basi ni ngumu sana mtu mwingine kuja kukuambia vinginevyo.Ni sawa na mtu ambae anaumwa halafu anaamini 'kalogwa' Mtu huyu hata umpeleke hospitali atakua tu...
51 Reactions
202 Replies
24K Views
Ndugu zangu, Nchi imepata simanzi adui anachekelea jinsi ambavyo baadhi ya watu waliopewa dhamana wanavyoonyesha kiu cha madaraka na mali. Ni dhahiri JPM alikuwa na dhamira kulinda rasilimali za...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Mkutano wake wa kwanza nje ya nchi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu katumia Kiingereza lugha ambayo inaeleweka vizuri kwa wenzetu Waganda na hao Wawekezaji badala ya kiswahili ambacho kilikuwa...
32 Reactions
174 Replies
14K Views
Rais Magufuli nipende kusema inapendeza kisiasa kuona watu wanakuja wakijijdai wanakuunga mkono. Watu ambao ni hatari ni wale wanaCCM walioondoka kwa mbwembwe kwa kukudhihaki na kusema una...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Juzi nilialikwa na kushiriki kwenye mdahalo wa ‘Zoom’ ulioandaliwa na Nadj Media Center. Mjadala ulikuwa mzuri na mkali sana. Kwa kuanzia nataka ieleweke kuwa nilichokisema hakina lengo la...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Jana rais wetu ameagiza kuundwa task force ya watalaam kuchambua kwa makini masuala haya ya covid 19 na kuishauri serikali hatua sahihi za kuchukua. Pressing issues hapa ni hasa msimamo wetu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau kwa masikitiko makubwa nasema value retension ya 6% ya kila salio baada ya makato ni shida kubwa sana kwanza wanufaika walilazimishwa kulipa asilimia kumi na tano wakakubali bado haitoshi...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Taifa Sasa lipo katika mjadala wa umeme wa hydroelectric power ambao n mradi ulioachwa na aliekuwa Raisi wa JMT. Lakin kabla ya huu mradi, kulikua na project ya umeme wa gesi ambao ulikua katika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijijini kwetu alikuwepo mzee mmoja ambaye alikuwa maarufu sana. Miongoni mwa mambo yaliyompa umaarufu ni jinsi alivyokuwa mweledi katika elimu ya dini ya Kiislamu kiasi cha kuwafundisha baadhi ya...
34 Reactions
218 Replies
28K Views
Wakuu Salaam; Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia jinsi Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mh. January Makamba jinsi alivyokuwa na sauti ya kuwa msemaji mkuu wa wizara hiyo...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameingia madarakani kutokana na msiba, hivyo asipelekeshwe sana na badala yake apewe muda Ameeleza Samia...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
  • Closed
Arch-Bishop Renatus Nkwande, Mwanza Arch-Diocese Abstract Mourning seasons have historically been used by opinion formers and decision makers as grand opportunities for performing their...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati wa utawala wa Jk tulikopa zaidi ya Trillion 2 Tshs kwa ajili ya kuweka bomba la gesi kutoka inakochimbwa Mtwara hadi Dar es Salaam mahususi kabisa kwa ajili ya kuzalisha umeme na kuisambaza...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Hapa tutaangalia mafanikio yaliyopatikana na yanayoendelea kupatikana bila kuwepo kwa wapinzani. Sasa hivi serikali za vijiji na mitaa ni CCM vipi hapo ulipo nini kimeongezeka? Je, hakuna dhuluma...
2 Reactions
6 Replies
887 Views
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa. Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu...
12 Reactions
116 Replies
9K Views
December 2018 Freeman Mbowe na Ester Matiko walikamatwa kwa madai ya kuruka dhamana kwenye kesi ya uchaguzi iliyokua inawakabili. Walidaiwa hawajahudhiria mahakamani mara 3 hivyo wakafutiwa...
33 Reactions
78 Replies
7K Views
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu. Ndugu zangu watanzania...
8 Reactions
78 Replies
6K Views
Watumishi nadhani sasa wakati umefika Wa kuuliza uongozi Wa juu Wa TUCTA kwanini umekuwa kimya wakati watumishi au wanachama wake hatupati Haki zetu kisheria kutoka Kwa Mwajiri wetu ambaye ni...
3 Reactions
76 Replies
6K Views
Habari wadau..! Kuna ka msemo ka waswahili kanasema "ngoma si yako wavaaje kibwaya",hii ndio inajidhirisha kwa wapinzani. Yaani siku hizi wamekuwa hawama ajenda isipokuwa kudandia dandia ,hii...
1 Reactions
1 Replies
684 Views
Akiwa kama Waziri wa fedha ana majukumu mazito ya kumsaidia Rais kukuza uchumi wetu na kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja. Ni wazi uchumi wetu umedorora na unahitaji juhudi kubwa sana huku...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom