Bagamoyo inafyreka tu, haitakuwa na simile na mtu!
Tuliwahi kusikia taarifa nyingi kuhusu mpango wa kuiboresha bandari ya Dar es Salaam ili iweze kutoa huduma nzuri kwa wateja wake, na kuvutia...
Tumechoka kuambiwa, tumechoka kuyumbishwa na tumechoka kuburuzwa, sasa tunataka mkataba mzima wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uwekwe hadharani ili sote tuusome, tuujadili, tuuchambue na kuamua...
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wafuasi wa Shujaa wetu juu ya kitendo cha baadhi ya Watanzania wenzetu kumsema shujaa wetu kwa mabaya.
Malalamiko haya si mitaani na kwenye mitandao ya kijamii...
Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Rais mpya ameanza kutekeleza majukumu yake kusonga mbele. Rais mpya Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake njema na ya dhati kabisa kuendelea pale alipoachia...
Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo...
Wasalaam wapenzi wa jukwaa hili!
Ndugu zangu huwa napata ukakasi sana ninapoona mtu ambaye anaonekana anajiita msomi lakini anyoongea hayana reflection na usomi wake. Tena kijana ambaye nafikiri...
Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake
Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa...
Watu wanataka Samia aje na vision yake katika urais Tanzania
Kimsingi huyu mama hata VP hakuwahi kuuota, na kwa hiyo hakuwahi kuwa na picha ya nini afanye akiwa VP! Kwa hiyo, kwa uaminifu kabisa...
Mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS),Shehzada Walli amehaidi kuondoa makundi na kuleta mshikamano ndani ya chama hicho ambacho ni miongoni mwa...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MADAWATI 590 KWA SHULE ZA DODOMA JIJI
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde amekabidhi madawati 590 yenye thamani ya Tsh 70,000,000 kwa shule za Msingi Dodoma...
Mlalamikaji katika kesi ya wizi wa sh,milioni 300 namba 87 ya mwaka 2020, Emmanuel Wadoo maarufu kwa jina la Sunda ambaye ni mfanyabiashara maarufu wa Madini na mmiliki wa hotel ya kitalii ya...
Jana Bungeni Waziri Mkuu alibainisha wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaenzi ‘legacy’ ya Magufuli. Alitaja mambo kadhaa kama vile kupinga rushwa; kuwajali wanyonge; na miradi ya kimkakati...
Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa...
Kitendo cha bwana Abbas na wenzake wa Wizara ya Habari kupishana na kauli ya Mh. Rais kuhusu kuvifungulia vyombo vya habari ni kiashiria kuwa Serikali ya Tanzania haina nia ya dhati kutekeleza...
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa...
Lengo la Uongozi lisiwe Madaraka bali Mabadiliko yaliyojaa Utu LEMA
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbali mbali inayohusu CDM katika vyombo vya habari na hususani mitandao ya jamii ...
Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara...
KOSEA SIYO DHAMBI, NI KUUFANYA USHAURI KAMA KUTAKA KUMFUTA MTU.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kumekuwa na kundi la watu wakiwepo hata baadhi ya viongozi ambao wanataka kuficha madhaifu...
Na Thadei Ole Mushi.
_______________________________
January mwaka (2020) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi alisema bila juhudi za Rais John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.