Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna msemo unasema kiendacho kinazunguka hurudi kinazunguka. Wabunge takribani Asilimia 95 walipatikana kwa kauli na Maamuzi ya Hayati Dkt. Magufuli wakati akiwa mwenyekiti na katibu wake Dkt...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu. Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa...
36 Reactions
145 Replies
13K Views
Florencia Membe anayetajwa kama mke wa kibopa wa UDART, Mtukufu Robert Kisena amefikishwa mahakamani kwa kosa la kutakatisha zaidi ya bil 2 pamoja na Uhujumu uchumi. Amenyimwa dhamana na...
19 Reactions
93 Replies
18K Views
Tumemwona Rais Samia akiteuwa watendaji na kuwaapisha ikulu, Hayati Magufuli aliwezaje kuapisshaa watendaji Chato?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Haya mambo ya kuzushiana ugonjwa na vifo hayajaanza leo, yalikuwepo enzi na enzi. Kuzushiana vifo sio jambo geni katika Ulimwengu huu, kuna mlolongo wa matukio mengi ya watu mashuhuri na watu...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ametilia shaka ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa namna ilivyoripoti hasara ya sh. bilioni 60 kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali. Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo...
5 Reactions
214 Replies
31K Views
"Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli. Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Napenda kutumia nafasi hii kukiri kwamba sijatumwa na mlengwa kuandika ninachoandika lakini nimeguswa na namna alivyo na uwezo wa ziada katika kujenga hoja, kuchambua mambo na kuongoza kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hotuba ya Rais Mama Samia nilivyoitafsiri Na Yericko Nyerere Kwa mara ya kwanza kwa miaka 6 hivi nimeisikiliza hotuba ya Rais wa Nchi ambayo niliikosa kwa muda mwingi tangu kipindi kuanza kwa...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Nchi kadhaa barani Africa Jeshi limekuwa na historia mbaya ya kupora au kushiriki kupora madaraka kila panapoonekana kuna ombwe katika utawala wa kiraia. Mwaka 2005 Faure Gnassingbe alisimikwa...
33 Reactions
85 Replies
10K Views
Nimeipata asubuhi hii, Rais amemtoa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF asubuhi hii. Habari kamili inakuja... ====== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa...
6 Reactions
350 Replies
78K Views
NAUNGANA NA SPIKA NDUGAI, VIJANA WENGI SIO WAAMINIFU, TENA WAVIVU Na, Robert Heriel Kauli ya SPIKA NDUGAI ni kauli thabiti yenye ukweli kwa 100% ndio maana naungana nayo. Ndugai anamadhaifu...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Nakumbuka dakawa paliwekwa walinzi wa kulinda kaburi la aliejulikana kama jabari la kimasai E.M. Sokoine na watu waliimba sana mapambio Cha ajabu leo hii hata kupaka rangi kaburi lake wamesahau...
12 Reactions
25 Replies
5K Views
Wanaukumbi. “Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani...
38 Reactions
84 Replies
6K Views
Nimepata taarifa Mzee wetu Mwinyi ameandika kitabu cha Maisha yake na hiv karibuni kitazinduliwa. Binafsi nnatamani kusoma na kujua jinsi huyu mzee aliweza kufufua uchumi wa Tanzania uliokufa...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Tangia mwaka 1776, Taifa la Marekani limepitia vipindi tofauti tofauti ambavyo ndani yake vilitofautishwa na falsafa mbali mbali za uongozi katika kutekeleza sera ya nchi chini ya maraisi wao...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nawasalimu wadau wa JamiiForums, Kwanza nitoe pole na kwa masikitiko makubwa kwa wananchi wa Tanzania pamoja na familia yake kutokana na kifo cha raisi wa awamu ya nne hayati John Pombe Magufuli...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa azitaka wizara, idara na taasisi za serikali kuhakikisha zinapitisha viongozi wake katika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom