Robert Kisena wa Simon Group azidi kudidimizwa. Mkewe Florencia Membe naye agongwa kesi ya uhujumu uchumi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,609
218,032
Mke wa Robert Kisena ambae ni Boss wa Kampuni ya Usafirishaji wa ‘Mabasi ya mwen.jpg

Florencia Membe anayetajwa kama mke wa kibopa wa UDART, Mtukufu Robert Kisena amefikishwa mahakamani kwa kosa la kutakatisha zaidi ya bil 2 pamoja na Uhujumu uchumi.

Amenyimwa dhamana na kupelekwa Rumande .

Kwa faida ya wanaJF na wengine:
Ukiacha kuwa boss wa UDART, Mtukufu Kisena ndiye yule mgombea wa CCM jimbo la Maswa aliyemtandika ngwala na makofi OCD wakati akigombea ubunge dhidi ya John Shibuda wa CHADEMA, ambapo aliangukia pua. Cha kufurahisha ni kwamba hata baada ya kumkata mitama OCD hakuwahi kuchukuliwa hatua yoyote ile ikiwa ni angalau kuitwa kwa mjumbe wa nyumba 10
 
Waliifanyia kitu mbaya UDA kwa kushirikiana na marehemu Masuburi, Iddi Simba wa Pride na Kapuya. Kiama chake kimefika sasa kwa mzee wa Simon Group,mdada mtangazaji wa Star Tv alipoisoma hii habari hadi uso ulisawijika kwa masikitiko na mshangao. Sijui ni shosti wake.
 
Hapo kwenye marehemu umetaja na wasio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1068199

Florencia Membe anayetajwa kama mke wa kibopa wa UDART , Mtukufu Robert Kiisena amefikishwa mahakamani kwa kosa la kutakatisha zaidi ya bil 2 pamoja na Uhujumu uchumi.

Amenyimwa dhamana na kupelekwa Rumande .

Kwa faida ya wanajf na wengine , ukiacha kuwa boss wa UDART , Mtukufu Kisena ndiye yule mgombea wa ccm jimbo la Maswa aliyemtandika ngwala na makofi OCD wakati akigombea ubunge dhidi ya John Shibuda wa Chadema , ambapo aliangukia pua , cha kufurahisha ni kwamba hata baada ya kumkata mitama OCD hakuwahi kuchukuliwa hatua yoyote ile ikiwa ni pamoja na kuitwa kwa mjumbe wa nyumba 10
Halafu tra wanawaandama machinga na wachuuzi wa chumvi, vibiriti, na sembe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliifanyia kitu mbaya UDA kwa kushirikiana na marehemu Masuburi, Iddi Simba wa Pride na Kapuya. Kiama chake kimefika sasa kwa mzee wa Simon Group,mdada mtangazaji wa Star Tv alipoisoma hii habari hadi uso ulisawijika kwa masikitiko na mshangao. Sijui ni shosti wake.
Kisena hoyee
 
Back
Top Bottom