Tangia mwaka 1776, Taifa la Marekani limepitia vipindi tofauti tofauti ambavyo ndani yake vilitofautishwa na falsafa mbali mbali za uongozi katika kutekeleza sera ya nchi chini ya maraisi wao...
Nawasalimu wadau wa JamiiForums,
Kwanza nitoe pole na kwa masikitiko makubwa kwa wananchi wa Tanzania pamoja na familia yake kutokana na kifo cha raisi wa awamu ya nne hayati John Pombe Magufuli...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa azitaka wizara, idara na taasisi za serikali kuhakikisha zinapitisha viongozi wake katika...
NI UDIKTETA KULAZIMISHA WAZIRI MKUU KUTEULIWA MIONGONI MWA WABUNGE WA KUCHAGULIWA
NI KICHEKESHO WAZIRI MKUU KUIDHINISHWA NA BUNGE
UTARATIBU WA WAZIRI MKUU KUWA NA MANAIBU WAWILI UANZISHWE
Wadau...
Ukifutilia vizuri bila ushabiki kauli za viongozi wetu hasa jana pale kwenye kongamano, utangundua yapo makundi yanayosuguana vibaya sana.
Ukisikiliza hotuba za mjengoni, utakubaliana na mimi...
Naona mambo yanaiva sasa.
Wale waliokuwa wakipinga ubadhilifu, ufisadi na hujuma mbalimbali katika nchi wanaingia ndani ya CCM ili kumuunga mkono JPM. Kila mtu na nafsi yake.
Mungu ibariki Tanzania
Wanajanvi.
Hiki ni kipindi kizuri sana. Ni kipindi cha muda mrefu na maarufu hapo ITV.
Wanaalikwa watu wazito wenye maslahi kwa umma! Mwandaaji wa kipindi bi Farhia anajitahidi sana kauliza...
Wakuu,
Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2010 nilipata kuisikia kauli maarufu ya Dr. Slaa kuhusu madhara ambayo nchi hii ingepata endapo kikwete angechaguliwa mara nyingine tena. Dr. Slaa...
My take:
Binadamu wengi wana wivu wa mali na utajiri wa watu wengine;binafsi sina wivu wa mali wala utajiri wa watu wengine,bali nina wivu wa nukuu maarufu za watu wengine.
Huyu bwana jina lake...
Wanabodi,
Kuna aina mbili kuu za kuuliza maswali.
Aina ya kwanza ni kuuliza swali ili kutaka kujua. Muuliza swali anakuwa anahitaji kujua kitu fulani au jambo fulani, hivyo anauliza ili apate...
Majukumu yake kama Mnikulu na maelezo ya Utangulizi
Kazi yake kubwa ni kusimamia majengo yote ya ikulu kwa maana ya shughuli za utawala. Yeye ndiye anahusika na usafi na decorations zote...
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na...
Kwa mujibu wa mfumo wetu, Wanasiasa ndio viongozi wa nchi ambapo kiongozi ndio hutoa muelekeo wa wapi pa kwenda au kutokwenda na ili iweje. Kwa mantiki hiyo, ili kupunguza ‘chances’ za kupotea, ni...
Rais Mama Samia Suluhu kwanza nikupongeze kwa kuomba kulihutubia Bunge na Mh Spika akakubalia.
Ombi langu ni kuwa sekta zote zinaosubiri kwa hamu hotuba yako hasa wafanyabiashara wakubwa na...
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.
Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa...
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali...
SASA TUMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU KAZI IENDELEE
Kwa heshima na taadhima kwa niaba ya wapenda maendeleo napenda kutoa shukurani za dhati kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wana JF
Nawasalimu wote
Nianze kwa kusema mimi sio Mganga wala Nabii ila ninenayo ndiyo ukweli unaotokana na uhalali wa hatimiliki kwa mujibu wa maagano.
Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na...
"Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana, kila mtu anazusha lake, naomba sana viongozi wa dini mlikemee hili na mengine yote yanayoenda kinyume na maadili na miiko yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.