Mbunge wa viti maalum Wafanyakazi, Janejelly James Ntate amesema watumishi wameweza kuifikisha Tanzania Uchumi wa Kati kabla ya wakati wake mwaka 2025.
Akiwa kwenye vikao vya bajeti...
Mimi nashangaa kuendelea kuchagua wanasiasa kuendesha mashirika kama haya. Ushauri wangu ni kutangezwe zabuni maalumu za uendeshaji tu.
1. Kila kampuni ije na mpango wake wa miaka mitano.
2...
Wanabodi Shaloom!
Ninakuomba kama itakupendeza futilia mbali Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ili fedha za umma zinazoteketea kuligharamia zitumike kwingine. Ni kitengo cha upigaji.
Nikukumbushe...
Kuuliza siyo ujinga.
Mosi Rais ni sehemu ya Bunge naomba kuelimishwa maana yake kisheria zaidi.
Pili naomba kuelimishwa tofauti ya Parliament na National Assemby kisheria zaidi.
Ramadhan Kareem.
WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA
Na Thadei Ole Mushi.
Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000
Kwa mwaka atapokea 132,000,000
Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000
Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua...
Wanasiasa, na hata Wanaharakati wengi duniani, wakiwemo wa nchi hii (including the late Magufuli) wanaonekana kupenda sana kuja kukumbukwa baadae hata na vizazi vijavyo, ila hawaelewi wafanye nini...
Since the story of UDA became part of public discourse, there has been a lot of confusion as to the true facts of what happened. In the process, the truth became a victim of politics. This...
Wazee wa Kwa nini unazani Kwa nini Iddi Amini Dada aliamuru kufukuzwa Kwa wahindi nchini Uganda!? Aliona nini!? Je hizo sababu hazipo Tanzania? Kwenye uongozi wake alipewa sifa duniani. Wahindi...
Tuwaonee huruma wananchi wanao tumia usafiri unajulikana kama mwendokasi.
1. Mabasi hayana muda rasmi
2. Unaweza kaa kituoni hadi masaa 2
3. Basi likipita limejaa kiasi kwamba hata kutoka tuu...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa...
Idadi ya watu sio tatizo, tatizo linaanza ukiwa na idadi kubwa ya watu ambao ni tegemezi na idadi ndogo ya wazalishaji . Tutaishia kutamani kujenga madarasa mengi, kuongeza madawati lakini kwa...
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwa anahojiwa na Mwananchi amezungumzia maswala ya Lipumba na CUF na future ya upinzani
Amedai Lipumba kutumiwa na CCM ni kutawafanya wapinzani waungane...
Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu.
Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu...
Je, Kuna ukweli kwenye madai ya "mkataba wa hovyo"?
Mmoja wa viongozi wa juu katika utawala wa Rais Jakaya Kikwete ambao mradi huo ulikuwa unaelekea kukamilika, ameniambia mengi ya yanayoyosemwa...
Anguko kubwa la thamani ya sh ya tanzania lilishuhudiwa mwaka 2015 april, ambapo kwa muda wa mwezi mmoja thamani ya shilingi ya Tanzania ilipolomaka toka sh 1650 kwa dola moja hadi sh 2010 kwa...
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa...
Ni ukweli kwamba toka Rais Samia Hassan ameingia madarakani, ameona umuhimu wa kubadili muelekeo wa nchi katika nyanja mbalimbali za kisiasa, kijamii na kiuchumi. Na ni ukweli pia kuwa kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.