Mzee Mwinyi ameandika Kitabu. Ninatamani kukisoma

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,050
5,078
Nimepata taarifa Mzee wetu Mwinyi ameandika kitabu cha Maisha yake na hiv karibuni kitazinduliwa. Binafsi nnatamani kusoma na kujua jinsi huyu mzee aliweza kufufua uchumi wa Tanzania uliokufa, akawezesha raia kuvaa nguo, kupata sabuni, magari kuingia, television n.k

Wajuzi wanasema uongozi wa huyu mzee ndio Tanzania tunayoiona leo, achana na hawa wapiga tantarira
 
Aandike asisahau mambo msingi kwenye utawalavwake .....hasa influence ya JKN kwenye utawala wake
 
Mwinyi ana vitu vingi vya kuandika na kukumbukwa vingi mno ......Binti Sitti wale pia alivyopiga deal wakiwa ikulu ...kutorosha dhahabu na pilots ....

SIDHANI KAMA MZEE MWINYI ATAANDIKA KUHUSU ZILE BIA ZA MAKOPO ZA STELLA ATOIS MAMA SITTI ALIZOKUWA ANALETA TOKA HOLLAND!!
PIA JINSI ALIVYOTOA MSAMAHA KWA WALE INTERNATIONAL DRUG DEALERS WALIOKAMATWA WAKISAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA " THE AKASHA BROTHERS".
 
Back
Top Bottom