Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjadala wa ofisi ya Rais Tamisemi unakwenda vizuri ile mambo ya kusifia sifia kutoa pongezi na pole haipo leo. Mbunge wa kwanza kuchangia Anna Kilango ametaka majimbo yote yaangaliwe kiusawa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba nitoe tahadhari mapema kabisa, kwa mwanasiasa yeyote atakaye nikosea halafu aje kuniomba msamaha basi ajiandae kupiga magoti mbele ya kamera ndiyo nitamsamehe, huwezi kuniita...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Mifumo ya chama chenu enyi wabunge wa CCM, inaonekana kuwajenga katika misingi ya ushabiki, kuimba na kupiga mapambio juu ya watawala na viongozi wenye mamlaka mbalimbali. Hebu tujikumbushe...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika...
48 Reactions
673 Replies
64K Views
Habari wakurugenzi..! Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Alphayo Kidata, Rais Samia Suluhu amekurudishia heshima yako iliyoondolewa kwa sababu ambazo hazikuelezwa, tunafahamu kwamba ulitukanwa sana hadi ukavuliwa ubalozi, yaliyopita si ndwele tugange...
27 Reactions
157 Replies
20K Views
Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai...
8 Reactions
62 Replies
7K Views
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na marekebisho yake yote, baada ya mhula huu mfupi wa urais wake wa kurithi kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 37(5), Rais Samia...
4 Reactions
106 Replies
14K Views
Nimeenda duka la jumla kununua vitu vya dukani karibia mzigo wa laki mbili nikamwambia muuzaji anipatie risiti nisije kukamatwa akanitolea kauli ya ajabu Sana kwamba aliyekuwa anadai risiti...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwenye hii story ya vijana wa JKT kikubwa kabisa ni story ya ukosefu wa ajira. Kama sikosei kuna takwimu zilitoka kuonesha uchumi wetu ulikuwa unakuwa Kwa asilimia 2.5 Tu Kwa miaka miwili...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Nianze moja kwa moja kusema kuwa siasa Sasa imegeuka kuwa bidhaa Bora na biashara Bora katika maisha ya viongozi wengi hapa duniani hasa Tanzania Bila kuwaza kuwa watanzania wanahitaji maendeleo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Dondoo Hapo zamani, kwa baadhi ya makabila, jina la mtoto halikutolewa na mtu yeyote, bali mtu maalum katika jamii, mtu aliyeaminika kuiona kesho ya mtoto. Mathalani huko kwa Wahaya, iliaminka...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Jaribu kufanya utafiti utagundua wanasiasa viongozi waliotoka familia maskini au kwenye uzururaji wanakuwaga na roho mbaya zaidi ya shetani. Mfano ni Idd Amin aliyeokotwa mtaani na kuingizwa...
43 Reactions
160 Replies
13K Views
Bunge letu, kikatiba ni chombo muhimu sana, na ni miongoni mwa mihimili mitatu ya Taifa. Bunge siyo club ya mpira. Bahati mbaya, wabunge wengi wa Bunge letu la sasa, inaonekana hawatambui hadhi ya...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu. Hatua hiyo ni baada ya Serikali kubaini kuwa kuna walimu hawamudu kufundisha...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha. Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni...
54 Reactions
74 Replies
11K Views
1.Kutangaza hali ya hatari na kuahirisha uchaguzi 2025 Hili limo ndani ya katiba ya sasa, kwa mujibu wa katiba, pindi inapotokea hali ya hatari rais amepewa uwezo wa kuahirisha uchaguzi mpaka...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Kuna moja ya thread jukwaa hili, imeandikwa humu ikiwa na hoja ya kwamba awamu ya Sasa serikali ya Mama Samia ni ya awamu ya tano yaani muendelezo wa mtangulizi wake. Yafuatayo ni maelezo mafupi...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom