Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,855
Nimeipata asubuhi hii, Rais amemtoa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF asubuhi hii.

Habari kamili inakuja...

======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Prof. Godius Kahyarara kuanzia leo tarehe 14 Julai 2018 na Badala yake amemteua Bw. William Erio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.

IMG-20180714-WA0002.jpg

Prof. Kahyarara

IMG-20180714-WA0001.jpg

William Erio

IMG_20180714_063032.jpg
 
Nimeipata asubuhi hii,Raisi amemtoa mkurugenzi mkuu wa NSSF asubuhi hii,habari kamili inakuja

======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Pro. Godius Kahyarara kuanzia leo tarehe 14 Julai 2018 na Badala yake amemteua Bw. William Erio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.
View attachment 808837
Misomi njaa, itaendelea kudhalilishwa na JIWE mpaka kiama
 
Jana kamishna wa magereza walimuwahi,aliandika barau ya kujiuzulu,wao wakamstaafisha,barua yake ipo,kuna mambo mh anayafanya ila yanawakatisha tamaa wateule wake,siyo rahisi kwa mteule kujituma wakati hujui hatima yako kazini,kama hawaamini wateule wake ni bora aongoze nchi peke yake,maana mpaka w/mkuu ameshamtishia kumfukuza kupitia chama
 
Nimeipata asubuhi hii,Raisi amemtoa mkurugenzi mkuu wa NSSF asubuhi hii,habari kamili inakuja

======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Pro. Godius Kahyarara kuanzia leo tarehe 14 Julai 2018 na Badala yake amemteua Bw. William Erio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.
View attachment 808837
Mi nasubiri Mwakani atakapo rudisha tena fao la kujitoa.
 
Jana kamishna wa magereza walimuwahi,aliandika barau ya kujiuzulu,wao wakamstaafisha,barua yake ipo,kuna mambo mh anayafanya ila yanawakatisha tamaa wateule wake,siyo rahisi kwa mteule kujituma wakati hujui hatima yako kazini,kama hawaamini wateule wake ni bora aongoze nchi peke yake,maana mpaka w/mkuu ameshamtishia kumfukuza kupitia chama

Inasikitisha, inaumiza na kukatisha tamaa sana...

Ila kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kamwe kufanya kazi na Jiwe....
 
Nimeipata asubuhi hii,Raisi amemtoa mkurugenzi mkuu wa NSSF asubuhi hii,habari kamili inakuja

======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Pro. Godius Kahyarara kuanzia leo tarehe 14 Julai 2018 na Badala yake amemteua Bw. William Erio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF.
View attachment 808837

Huyu jamaa kumona tu ofcn kwake ilikuwa tabu, dharau nyingi kazi hajui bora waamemtoa
 
Siku hizi elimu sio kitu cha kujivunia,
Unalala ukiwa mkurugenzi unaamka ukiwa mjobless,
Kuwa prof ni sawa na kuwa kama beki 3,
Boss akiamka kichwa kinamuuma unakula ban,

Ulikuwa na malengo flani au ulikuwa tishio,
Mshindani wako anachora raman ya kukumaliza,
Anaanza kwa kukupa ulaji,
Anakuacha kwa mda flani,
Kisha anakutumbua,
Kwisha habari yako.

ZAMU YA YULE PACHA WA MZITO YAJA
Muda ni msema kweli
 
Back
Top Bottom