Hata siku moja hutasikia kamwe kuna Mpango au Bajeti imepingwa na imesababisha mjadala mzito na wenye manufaa kwa wananchi.
Jana usiku nikaamua kufuatilia kilivyokuwa kipindi cha bunge - yaani...
Awamu ya tano ilimalizia kuiua CCM iliyokuwa tayari imepigwa jembe la mgongoni na Edward Lowassa alipohamia Chadema.
CCM ya kweli haiwezi kuwa na viongozi aina ya Mh. Polepole na Mh. Bashiru kama...
Naibu waziri Katambi amefanya ziara katika Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi na kuonesha kutoridhishwa na ujenzi wa machinjio hayo yenye gharama ya Shilingi Bilioni...
Panga, pangua ya Mama Samia ndo habari ya mjini.
Katika awamu zilizopita, nafasi nyingi sana za kiutendaji walipewa makada wa CCM pamoja na wa vyama vya upinzani ( Anna Mngwira RC Kilimanjaro...
Ndugu Waandishi wa Habari,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza mnamo tarehe 19/04/2021 imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma Bw. Madaraka Robert...
Salaam wana JF,
Kama heading inavyojieleza kuna kiasi cha pesa kinachokatwa kwenye kila gari inayoingizwa nchini kupitia bandarini, labda na kwingineko kinaitwa railway levy.
Mimi kwa uelewa...
Kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa.
Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda...
Darsa kidogo!
Kuna Mijadala mingi inaendelea kila kona ya nchi tokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali, CAG (Controller and Auditors General) itolewe hadharani...
Amani iwe juu yenu nyote.
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kubadilisha mifumo yote inayo tumika kupata viongozi wa Nchi hii, viongozi ambao wanakuwa madarakani kwa sababu ya mtu aliyemteua au chama...
Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano.
Mimi binafsi...
Mtia nia ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA mh Lazaro Nyalandu amesema wakati wa utawala wa Rais Mkapa yeye alikuwa msaidizi wa Mama Anna Mkapa hivyo amesafiri sana huko Duniani na mzee Mkapa...
Na Bwanku M Bwanku
Hekaheka na pilika za kampeni zinaendelea kutimua vumbi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi kwa wagombea wa Urais, wabunge na madiwani kunadi Sera na Ilani zao wanazoenda...
Anaandika mtanzania mwenzetu Twahir Abasi (kutoka Chuo kikuu cha Sayansi na teknolojia cha Huazhong, huko Wuhan, China).
______
Legacy ya watawala haipo sana kwenye ujenzi wa vitu labda vitu...
Niombe tu, waziri mkuu atembelee ofisi ya madini mkoa wa Geita. Hali iliyoko pale kuhusu rushwa ni mbaya sana na utendaji kazi ni wa hovyo. Engineer Pius, pokea ujumbe huu pamoja na ps wa afisa...
WEDNESDAY, AUGUST 19, 2015
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA DART.
Kuna upotoshaji wa Makusudi uliozagaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa Mabasi Yaliyozinduliwa Tarehe...
Ni miaka mingi imepita takribani 20 sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchi japo nilikuwa upande wa wale wanaokandamizwa na kuonewa katika tafakuri ndani ya kichwa change...
Heshima yenu wakuu
Kinachotokea kwa sasa mitandaoni, bungeni na mitaani ni matokeo yaliyopandwa na mwendazake.
Bungeni kuna mmyukano mkali, mitandaoni ndio hakufai.
Wapo wanaomponda mwendazake...
“Dhamira ya Mtulia akiwa Chama kile(CUF) ilikuwa kuwatumikia wananchi wa Kinondoni ila kwa bahati mbaya sana kule alikokuwa( CUF) alishindwa kutekeleza adhima yake, Baada ya kuona anashindwa...
Mabibi na mabwana tumesikia Waziri Mkuu kuvamia UDART leo tena kazukia SGR.
Vipi kwenye madege yetu? Tupeane habari wakuu. Je, anao mpango wa kutimba chighafla ghafla hapo ATCL pia?
Bila shaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.