Rais Samia awaasa viongozi wa dini, "Simameni tuwapige vita wazandiki katika mitandao ya kijamii"

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,081
2,688
"Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli.

Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka kuona mambo mapya. Awamu ya Sita ni Awamu Mpya. Kwa nini ifanane na Awamu ya zamani?

Rais Samia amesema,"

Tusitazame mbele kwa hofu. "Tusitazame nyuma kwa huzuni. Tujali ya sasa".

That seems like good advice.
 
"Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia.
Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli.
Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka kuona mambo mapya. Awamu ya Sitta ni Awamu Mpya. Kwa nini ifanane na Awamu ya zamani.?
Rais Samia amesema,"
Tusitazame mbele kwa hofu. "Tusitazame nyuma kwa huzuni. Tujali ya sasa"
That seems like good advice.

Wezi wa mfukoni wanataka kumpa mama ajenda. Halafu watamuibia
 
Bro ... uliongea na Magu kwenye mtandao?

Alikuwa hata hajuwi kutumia mitandao mkuu... alikuwa tu anashauliwa kufunga na kuifungua.

Alifundishwa emails tu na little bit of google...

Seems like kila mtu anamuongelea Magu wake...

Hata jiwe alikuwa mtu wa mitandao sana, ila kwa fake Id, kuna siku kanijia juu sana na mimi nikawa namlambisha tu mchanga.
 
Bro ... uliongea na Magu kwenye mtandao?

Alikuwa hata hajuwi kutumia mitandao mkuu... alikuwa tu anashauliwa kufunga na kuifungua.

Alifundishwa emails tu na little bit of google...

Seems like kila mtu anamuongelea Magu wake...

Msigwa ndio alikuwa anamsaidia kulogInn na kulogOut. Kisha akamuelekeza kureply,kitu ambacho alikuwa hawezi ni kuUpload pictures na kuweka emoj.
 
Sio JF wala twitter...
Tech ya vijana hii mkuu..

He was outdated kwenye media.
Msigwa ndio alikuwa anamsaidia kulogInn na kulogOut. Kisha akamuelekeza kureply,kitu ambacho alikuwa hawezi ni kuUpload pictures na kuweka emoj.
 
"Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli.

Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka kuona mambo mapya. Awamu ya Sita ni Awamu Mpya. Kwa nini ifanane na Awamu ya zamani?

Rais Samia amesema,"

Tusitazame mbele kwa hofu. "Tusitazame nyuma kwa huzuni. Tujali ya sasa".

That seems like good advice.
Ndiyo na Hapana.

Ndiyo, Magufuli na Samia ni watu tofauti, na hatutegemei mambo yao yatafanana.

Kuwa awamu ya tano hakumzuii Samia kufanya mambo tofauti na aliyofanya Magufuli kama ataona hivyo ndivyo itakavyokuwa inafaa.

Hapana, hii siyo awamu ya sita.

Kama mama anataka awamu ya sita, ya kwake halali kabisa, ajitose ulingoni hapo 2025.

Wananchi wakimpa ridhaa yao awaongoze, hiyo ndiyo itakayokuwa awamu ya sita.

Sasa tuulize, ametumia vigezo gani kujitangazia awamu mpya?

Haya mambo yanahitaji taratibu, tuachane na tabia mbaya ya Magufuli ya kujitangazia tu mambo bila kufuata taratibu zozote.

Kuwa Rais hakuna maana unao uhuru wa kufuata taratibu unazojiwekea wewe mwenyewe bila kushirikisha wengine.

Na kuhusu haya ya mitandaoni. Hili nalo sio kweli, yanayoandikwa mitandaoni siyo yote ni mabaya. Linalotakiwa ni jinsi ya kujua namna ya kuitumia vizuri hiyo mitandao kupata mazuri yaliyomo.

Tafuta wasaidizi wenye weledi wakusaidie kutumia mitandao kwa tija.
 
Mbona mama anaonekana ni mtu wa mitandao sana?
Sio yeye ni wanawake wote duniani,toka ianze mitandano unajua ni vyakula vingai vimeungua kama haitoshi ,kwa wanaotumia gesi huwashwa moto mdogomdooogoo,watu wanachati kama ni chai ya watu sita usishangae inachemka mpaka inabakia kikombe kimoja.
Kwa hio usipigwe na butwaa wanawake kwa mitandao huna la kuwambia. Ndivyo walivyo.
 
Ni kweli anatumia Sana tweeter but nadhan apunguze kupost...

Apost issue za msingi tu kama.kutoa pole kwa wafiwa....

Ishu ndogo ndogo kama za Leo nilikiwa wapi an nimesafiri nimefika wapi aachane nazo
 
Mama anayo hekima pia. angekuwa ametoa maelekezo haya randomly wanasiasa uchwara kama mwigulu leo wangekesha nyuma ya keyboard kuandika vitisho kwa watu wanaotoa maoni yao mitandaoni kwa kisingizio cha 'kauli ya Rais ni amri'.
 
Back
Top Bottom