Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mama kwa heshima na taadhima,kwanza nikushukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya mkuu wa wilaya ya Hai mheshimiwa Sabaya, na kwa kuwa la Sabaya umesema lichunguzwe maoni yangu kuhusu yeye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu. Hii topic naindika usiku sana. Usingizi ulikata nikaamua niingie huku kidogo. Swali langu ni dogo tu. Why wa tz tunafocus sana kwenye uchama na vi internal conflict vya makundi...
2 Reactions
4 Replies
608 Views
Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Muda unaenda kasi sana! Wale wapambe wa kusifia kulikozidi kuabudu na misamiati yao ya kishamba naona sasa wanapukutika utadhani mbelewele za Mtama wa Kongwa. Eti Tunampambania, anatupambania...
34 Reactions
194 Replies
11K Views
Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na...
1 Reactions
1 Replies
865 Views
Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini. Inapokuja suala la...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu...
11 Reactions
335 Replies
48K Views
Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Baraza ni lile lile, CCM ni ile ile, na hata wengine wanasema Mama Samia, ni wale wale! Lakini still ni early days. Nafikiri Mama anahitaji muda wa ku-settle kwenye kile kiti, na taratiiibu...
23 Reactions
57 Replies
7K Views
Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Salaam za Eid El Fitri! Ndugu zangu wanaccm hasa waliojawa na roho za chuki na Gubu nawaomba ujumbe huu uwafikie siku ya leo mpate kuelewa. Acheni dhihaka zenu za reja reja kwenye mamlaka...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
NUKUU YA MSEMAKWELI CHAKUBANGA. Nikiwa kama mbobezi katika fani ya Uongozi, Master of Leadership and Management, Labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria, haki wala...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Nwinyi, amebainisha kuwa wakati wa uongozi wake, aliepuka kubishana hadharani na mtangulizi wake, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, akiwaonya viongozi wa...
10 Reactions
22 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameondoka leo Mei 14, 2021 kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu Mama Samia mapema leo alikuwa mgeni rasmi...
15 Reactions
108 Replies
13K Views
Utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan leo umeangusha moja ya nguzo za katikati za urithi, legacy, ya aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli kwa kutumbuliwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole...
14 Reactions
92 Replies
9K Views
Yuda alisikitika yesu alipomwambia atamsaliti mara tatu kabla hapajakucha usiku ule alipotiwa mkononi mwa watesi wake. Kwa imani ya kikristo Yesu ana umungu ndani yake kwa hiyo angeweza kumjua...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeondoa zuio la kampuni za simu nchini kuwatumia mawakala kusajili laini za simu mitaani. Akizungumza Jumatano Aprili 14, 2021 mkurugenzi wa mamlaka hiyo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ITAMBUE WILAYA YA ILEJE NA FURSA ZILIZOPO. Na Elius Ndabila. 0768239284 UTANGULIZI. Wilaya ya Ileje inapatikana katika Mkoa wa Songwe, mkoa ambao ni matokeo baada ya kuugawa mkoa wa Mbeya...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Abdoulquarim Malisa, ______ NYALA [Nyalandu] unasema moja ya sababu iliyokuondoa Chadema ni kushangilia kifo cha JPM. Lakini tuliona Chadema na vyama vingine vikitoa salamu za pole na viongozi...
2 Reactions
1 Replies
808 Views
Tuache unafiki na lawama zisizo na msingi kwa sekta ya afya kwani hatujawahi kuitendea haki katika bajeti. Sekta ya afya inapata bajeti finyu mwaka hadi mwaka na tunapoongelea hili wakati wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…