Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba tusome hii story ya Jerry Muro akijitetea baada ya kumkamatwa wakili nakumweka ndani kinyume kabisha na sheria. DC anadai alifanyiwa vurugu, kwa Jerry Muro huyu afanyiwe vurugu tusione...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Watanzania tusijidumaze kiakili. Ukifuatilia mijadala inayoendelea mitandaoni na jinsi Watanzania walivyo na hofu na Wakenya dah! unaweza kudhani siyo Kenya hii ya hawa majirani zetu. Unakuta...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Neno heshima ni kubwa Sana kibinaadam hata kiroho, wabunge wa Tanzania kuwaita waheshimiwa Mimi inanitia kichefuchefu kwa sababu matendo ya mtu ndiyo yanayompa heshima. Sasa hawa wabunge...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Bila kupepesa macho hapa nainyooshea kidole CCM,ambacho mimi ni mshabiki wake. Tatizo ni nini hasa? mmekosa washauri? hamna tena watu wa kuona mbali japo hatua hata mia moja!? Hivi kwanini...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada? Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata. Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
TATIZO NI MDEE AU NI KUTOTII DEMOKRASIA? Na. Philipo Mwakibinga 0758910403 Kwa muda sasa nimekua nikifuatilia minyukano inayoendelea ndani na nje ya Bunge kuhusu Wabunge 19 wa Viti maalumu...
-1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inataraji kutumia kiasi cha Bilioni 20 kujenga kituo cha uhifadhi wa chakula kwa kutumia teknolojia ya nyuklia Jijini Dar es Salaam. Kituo hicho...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Uwezo wa Mbowe kiuongozi umejengwa kwenye misingi ya busara, hekima, ustaarabu, uvumilivu, ujengaji hoja na ujasiri. Mbowe angekuwa hana uwezo huo tungemuona akigombana na watu kama Makonda ambaye...
17 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeona tangazo la wizara ya afya jinsia wazee na watoto kupitia kitengo chake cha elimu kwa umma likisema uvaaji barakoa kwa sasa sio utashi ni lazima. Sisi watanzania tulishasahau mambo hizi na...
8 Reactions
146 Replies
13K Views
Nitakuwa wa mwisho kukubali maelezo ya Rais Samia suluhu Hassan ya kwamba uchumi wetu umeshuka kutoka kukua kwa 6.9% mpaka 4.6%. Maelezo haya yametolewa mwezi mmoja na siku kadhaa mara baada ya...
13 Reactions
105 Replies
7K Views
Hahahaa Tundu Lissu is on some shyt for real! Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia. Intellect over emotions. Companero 😉😁
29 Reactions
110 Replies
12K Views
Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akizungumza leo Machi 12, 2020, DPP Mganga amesema kuwa taarifa alizozitoa Lema zimeleta taharuki kwa Watanzania na kuwafanya wasiishi kwa amani na kwa jambo hilo lazima atalichukulia hatua na...
5 Reactions
103 Replies
14K Views
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Ndivyo ninavyolazimika kuianza "thread" yangu kutokana na sakata hili la kumwachia mahabusu Nusrat Hanje kinyume cha sheria na taratibu za nchi hii...
28 Reactions
67 Replies
9K Views
Imekuwa ni desturi kwa chadema kujiona wana haki ya kukosoa tu. Kwa muda mrefu uhuru wa habari kichwani mwa Chadema unamanisha ni kutukana na kukosoa wengine ila wao kukosolewa hapana. Ukiwakosoa...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari...
16 Reactions
110 Replies
9K Views
Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) Mei 09, 2021 imetangaza ajira za Watumishi wa Kada mbalimbali za Afya 2,726 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, vituo vya...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
“Nathibitisha kwamba Ramadhan Ighondu alitambulishwa kwetu kwa jina la Abeid. Binafsi ninamfahamu sana bwana huyu kwa sababu alikuwa akitumwa mara kwa mara kuja kukutana na mimi na tumekutana mara...
1 Reactions
86 Replies
9K Views
Back
Top Bottom