Huu ni wakati wa kuyatafuta mabadiliko nje ya CCM

Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
730
1,000
Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote

CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja

CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo yafuatayo bila kupepesa macho

Kwanza watekeleze kwa kishindo ilani ya CCM ya kurasa 303 ambayo ina agenda zote za mifumo ya kustawisha jamii yetu

Hatutaki kuambiwa kwamba kuna haki wakati hatuoni nia na dhamira ya Serikali katika kutuletea uimara wa huduma za misingi kama upatikanaji wa maji safi na salama, Bima ya afya kwa woote, huduma bora za Afya,

kwa misingi hiyo wanasiasa waache kutupaka mafuta kwa mgongo wa Chupa kwa kuhubiri haki ya uongo huku haki zetu za lazima na za msingi zikififishwa na sera mbaya za viongozi zinachochea Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na madawa ya kulevya
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
29,069
2,000
Hama hata leo usiku chukua Godoro lako hamia Chato
icon_lol.gif
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
13,573
2,000
watu unaweza kuwadanganya leo lkn kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote

CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja

CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo yafuatayo bila kupepesa macho

kwanza watekeleze kwa kishindo ilani ya CCM ya kurasa 303 ambayo ina agenda zote za mifumo ya kustawisha jamii yetu

Hatutaki kuambiwa kwamba kuna haki wakati hatuoni nia na dhamira ya Serikali katika kutuletea uimara wa huduma za misingi kama upatikanaji wa maji safi na salama, Bima ya afya kwa woote, huduma bora za Afya,

kwa misingi hiyo wanasiasa waache kutupaka mafuta kwa mgongo wa Chupa kwa kuhubiri haki ya uongo huku haki zetu za lazima na za msingi zikififishwa na sera mbaya za viongozi zinachochea Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na madawa ya kulevya
Hama na godoro lako kalale na mumeo kwenye kibanda cha mabati.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
4,813

Kafie mbali huko. Nyie wafuasi wa DIKTETA wa Chato. CCM imerudi inako stahili
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
2,040
2,000
Kumbuka ya kwamba leo ni tarehe 15-05-2021 kwa hiyo bado una safari ndefu ya kusubiri mpaka ifike mwaka 2025 na kisha uanze tena safari nyingine ya kusubiri tena mpaka ifike mwaka 2030.

Nikupe tu ushauri, tafuta vitu vya ziada vya kufanya ili vikufanye uwe "busy" zaidi ya kuishi ukiwa na msongo wa mawazo. Kifo ni "sure event" na mwendazake ndiyo huyo kaishia zake na kamwe hawezi kurudi. Jifunze kuishi kwa kuchukuliana na jinsi hali ilivyo. La sivyo kila siku utaishia kulalamika na kunung'unika hapa jukwaani pasipo kupata msaada wowote ule.

Pole sana ndugu yangu.
 
Mwanzambaya

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,105
2,000
Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote

CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja

CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo yafuatayo bila kupepesa macho

Kwanza watekeleze kwa kishindo ilani ya CCM ya kurasa 303 ambayo ina agenda zote za mifumo ya kustawisha jamii yetu

Hatutaki kuambiwa kwamba kuna haki wakati hatuoni nia na dhamira ya Serikali katika kutuletea uimara wa huduma za misingi kama upatikanaji wa maji safi na salama, Bima ya afya kwa woote, huduma bora za Afya,

kwa misingi hiyo wanasiasa waache kutupaka mafuta kwa mgongo wa Chupa kwa kuhubiri haki ya uongo huku haki zetu za lazima na za msingi zikififishwa na sera mbaya za viongozi zinachochea Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na madawa ya kulevya
Ungeyasema aya kipindi cha mungu wenu dikteta magufuli ,tungekuona wa maana,,

Uho muw.asho wa masaburi yako unakutia uchizi dogo
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,920
2,000
Mbona mapema sana kafa jana tu watu mumeshaanza kulialia na CCM wakati wenzenu tulipokuwa tunachalazwa viboko mulikuwa mnaimba iyena iyena iyena CCM number one kwani kitu gani kimewapata isije ikawa mumeanza kutumika na mabeberu.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
41,696
2,000
Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote

CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja

CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo yafuatayo bila kupepesa macho

Kwanza watekeleze kwa kishindo ilani ya CCM ya kurasa 303 ambayo ina agenda zote za mifumo ya kustawisha jamii yetu

Hatutaki kuambiwa kwamba kuna haki wakati hatuoni nia na dhamira ya Serikali katika kutuletea uimara wa huduma za misingi kama upatikanaji wa maji safi na salama, Bima ya afya kwa woote, huduma bora za Afya,

kwa misingi hiyo wanasiasa waache kutupaka mafuta kwa mgongo wa Chupa kwa kuhubiri haki ya uongo huku haki zetu za lazima na za msingi zikififishwa na sera mbaya za viongozi zinachochea Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na madawa ya kulevya
Dogo utakufa kwa stress za siasa za Bongo. Take it easy
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
6,940
2,000
Kuna kazi ya kujengea kabuli hapo chato! Maana limezungushiwa mabati tu halifai. Nenda kajenge kaburi la mpuuzi mwenzako hapo chato na ukimaliza rudi kwenu Burundi intarahamwe mkubwa wewe!!
Watu unaweza kuwadanganya leo lakini kamwe hauwezi kuwadanganya siku zote

CCM wasidhani kama wataendelea kutumia ulaghai wa zamani wa kutupaka pipi mdomoni huku utamu wa pipi nzima ukiliwa na wachache hatutakubali hata siku moja

CCM wakitaka tuendelee kuwaunga mkono tunawataka wafuate mambo yafuatayo bila kupepesa macho

Kwanza watekeleze kwa kishindo ilani ya CCM ya kurasa 303 ambayo ina agenda zote za mifumo ya kustawisha jamii yetu

Hatutaki kuambiwa kwamba kuna haki wakati hatuoni nia na dhamira ya Serikali katika kutuletea uimara wa huduma za misingi kama upatikanaji wa maji safi na salama, Bima ya afya kwa woote, huduma bora za Afya,

kwa misingi hiyo wanasiasa waache kutupaka mafuta kwa mgongo wa Chupa kwa kuhubiri haki ya uongo huku haki zetu za lazima na za msingi zikififishwa na sera mbaya za viongozi zinachochea Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali za umma, uzembe kazini na madawa ya kulevya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom