Tutambue si kila biashara au wafanyabiashara wana faida kwa maendeleo ya nchi

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,408
7,190
Yuda alisikitika yesu alipomwambia atamsaliti mara tatu kabla hapajakucha usiku ule alipotiwa mkononi mwa watesi wake.

Kwa imani ya kikristo Yesu ana umungu ndani yake kwa hiyo angeweza kumjua msaliti mapema. Kwa bahati mbaya viongozi wengi wema walisalitiwa na watu waliyowaamini kabisa na kuwafanya wasaidizi wao.

Lumumba aliyekua na msimamo madhubuti kwa faida ya watu wake alisalitiwa na joseph desire mobutu. Mtu huyo lumumba alipewa kiujasusi na wabeljiji awe karani na msaidizi wake wakati wa mazungumzo ya uhuru wa congo.

Thomas sankara alipinduliwa na kuuliwa na mtu wa karibu aliyeamini ni ndugu yake. Mtu huyo walilelewa pamoja kwenye familia moja baba yake thomas sankara akawaingiza jeshi pamoja.

Wafaransa walimtumia mtu huyo blaise compaoure kumtoa mwanamapinduzi sankara na kumuua. Kuna mifano mingi ya usaliti kusalitiwa wanamapinduzi afrika na watu wa karibu nao kwa tamaa binafsi au kutumiwa na adui wa maendeleo ya afrika.

Wanamapinduzi kote Afrika watashituka wakiona safu ya viongozi aliyoiacha Magufuli ikitimuliwa huku rushwa magendona dhuluma kwa wanyonge vikirejea.

Lazima mama atambue si kila biashara au wafanyabiashara wana faida kwa maendeleo ya nchi. Pia asisahau sisi tunajenga nchi ya ujamaa ndio maana amani imetamalaki.
 
Yuda alisikitika yesu alipomwambia atamsaliti mara tatu kabla hapajakucha usiku ule alipotiwa mkononi mwa watesi wake.
Kwa imani ya kikristo Yesu ana umungu ndani yake kwa hiyo angeweza kumjua msaliti mapema. Kwa bahati mbaya viongozi wengi wema walisalitiwa na watu waliyowaamini kabisa na kuwafanya wasaidizi wao.
Lumumba aliyekua na msimamo madhubuti kwa faida ya watu wake alisalitiwa na joseph desire mobutu. Mtu huyo lumumba alipewa kiujasusi na wabeljiji awe karani na msaidizi wake wakati wa mazungumzo ya uhuru wa congo. Thomas sankara alipinduliwa na kuuliwa na mtu wa karibu aliyeamini ni ndugu yake. Mtu huyo walilelewa pamoja kwenye familia moja baba yake thomas sankara akawaingiza jeshi pamoja. Wafaransa walimtumia mtu huyo blaise compaoure kumtoa mwanamapinduzi sankara na kumuua. Kuna mifano mingi ya usaliti kusalitiwa wanamapinduzi afrika na watu wa karibu nao kwa tamaa binafsi au kutumiwa na adui wa maendeleo ya afrika.
Wanamapinduzi kote afrika watashituka wakiona safu ya viongozi aliyoiacha magufuli ikitimuliwa huku rushwa magendo biashara ya madawa ya kulevya na dhuluma kwa wanyonge vikirejea.

Unataka kusema hata Mama kahusika kumuondoa Mwamba au kamsaliti kwa mabeberu🤣🤣🤣
 
Ujamaa ndio unaoleta udikteta, angalia china, urusi, north korea .....
 
Nasema hivi ni kwa wale pekee waliokwamia awamu ile.
 
Mangoes, pawpaw and cassava.
 
Ujamaa ndio unaoleta udikteta, angalia china, urusi, north korea .....
Lakini ndio unaoleta haki na usawa kiuchumi kwa bilioni ya watu uchina na ubwanyenye ndio unaleta umaskini na dhiki kwa mamilioni india.
 
Wafanyabiashara wanatafuta ugali wao na watoto wao sio maendeleo ya nchi.
Ili mradi wanafanya biashara zao kwa kufuata sheria hawapaswi kusumbuliwa na kama wanakosea waadhibiwe kwa kufuata sheria sio kwa tabia za uhuni na umafia.
 
Ok toeni ushahidi wa umafia wa sabaya maana wengi kwenye upinzani wanapokea hii ngonjera ya umafia wa dc sabaya kama kibwagizo cha wimbo. Ni ukasuku tu.
 
Back
Top Bottom