Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema yeye na wenzake walianzisha chama hicho ili kupinga sera za ujamaa na kujitegemea zinazotumiwa na Chama cha Mapinduzi. Akizungumza katika mwendelezo...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati akitoa salamu za pole kufutia kifo cha Rais Magufuli, amewataka watanzania kuwa watulivu na kusema ilani ya CCM ya 2020 -...
11 Reactions
134 Replies
18K Views
Najiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitia awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030. Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji...
4 Reactions
63 Replies
9K Views
Nafasi ya Rais Iheshimiwe Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali...
23 Reactions
141 Replies
12K Views
Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi. Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza...
21 Reactions
162 Replies
16K Views
Asalaam Alyekum.....! Tumsifu Yesu Kristu..! Tangia Mh. Rais atoke Kenya ameonekana mara mbili katika matukio miwili tofauti, tukio la kwanza ni lile lakuzungumza na wazee wa Dar es Salaam na...
3 Reactions
59 Replies
2K Views
Uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia unazidi kujipambanua dhahiri kadiri siku zinavyosonga mbele. Na sasa amegusa jambo muhimu sana na la msingi zaidi katika ujenzi wa Taifa lolote lile kwa ajili ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wabunge zaidi ya 80% wa CCM hawakupatikana kwa njia halali. Kwanini nguvu msiiweke kuwandoa hao wana ccm waliopatikana kwa mtutu. Hayo hamfatilii mnapambana na wabunge 19 tena waliokuwa makamanda...
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama. Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba...
18 Reactions
86 Replies
7K Views
Mabibi na mabwana taarifa mpya za kitalaamu, hizi ni muhimu sana kwetu kwenye kujilinda na hili gonjwa. Inatia moyo madaktari wetu wanapoendelea tuhabarisha tusijisahau. Hatuna sababu ya...
13 Reactions
136 Replies
12K Views
Habari wakuu, Natumaini kila mmoja anaendelea vyema. Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Pia nina uhakika wa uhuru baada ya kutoa maoni kwa sababu huu uzi haugusi...
36 Reactions
67 Replies
7K Views
Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu...
13 Reactions
35 Replies
5K Views
Wananchi tunafanya kazi kwa bidii na tunapenda haki lakini viongozi wetu hawaonyeshi kuwa na nia ya kututetea wametuacha katika mazingira duni hawatusaidii kuboresha hali zetu na ndio sababu miaka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kamishina msaidizi wa Uhifadhi wa TANAPA, ACC Paul Banga amesema General Management Plan(GMP) ambayo inahusisha Wadau wote wa Utalii, walipitisha mpango wa kuanzisha cable car katika Mlima...
11 Reactions
147 Replies
15K Views
Nimemsikia Raia Samia anasema watahakikisha wanakusanya kodi halali na sio ya dhuluma na huko nyuma amekemea TRA kunyang'anya watu mitaji na hela zao kwa kisingizio cha kodi. Hapa tuseme ukweli...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassani ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya mwendazake Teddy Hollo Mapunda yaliyofanyika leo Jijini Dar es salaam...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
“Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa...
11 Reactions
133 Replies
10K Views
KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa...
14 Reactions
70 Replies
7K Views
Back
Top Bottom