wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,085
- 809
Wakuu.
Hii topic naindika usiku sana. Usingizi ulikata nikaamua niingie huku kidogo.
Swali langu ni dogo tu. Why wa tz tunafocus sana kwenye uchama na vi internal conflict vya makundi vinavotupotezea mda mwingi. Ambavyo vinasababisha tushindwe ku focus kwenye uhalisia wa siasa za kidunia zinavo work out.
Why my beloved tanzanians and africans as a whole. Kwanini tusiepukane na hivi viugomvi vya sisi kwa ss na kutafuta the real source of all these. Ukiamka ukaingia kwenye media zetu. Mara leo huyu kamtukana huyu. Mara yule atakoma alijifanya sana. Mara huyu kawa hivi.
Ok we understand kwa wale ambao wana mtazamo positive na tanzania na africa kwa ujumla huwa hawakosi maadui. Lakini pia lazima uangalie ni nini kinachowa motivate maadui. Sababu at the end of the day tuna safari ndefu sana ya kuijenga tanzania na kuitibu africa vidonda vilivo anza toka enzi za utumwa na kufocus kwenye africa mpya na strong.
Tunahitaji utulivu mkali sana wakuu. Si mchezo