Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam nyingi wana JF Hili suala la kujiwekea kinga kwa watawala ni ishara ya kujitengenezea mamlaka isiyojali haki za binadamu, mamlaka isiyojali misingi ya sheria na utawala Bora, mamlakana ya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kiongozi bora ni yupi? Ni yule anaweza kuliunganisha Taifa bila kujali, dini, kabila, rangi, ukanda, itikadi n.k. Ni yule anaweza kuzimamia Rasilimali za Taifa kuwanufaisha wananchi wa Taifa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Na Thadei Ole Mushi. Tukiweza tuangalie upya utaratibu wa Mbio za Mwenge. Sio kila kitu kilichoanzishwa na wazee wetu kinakuwa na tija wakati wote. Katika kipindi hiki Corona ikiwa inatikisa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Binafsi leo nimepata fursa ya kufuatilia kwa njia ya television sherehe za uapisho wa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda huko jijiji Kampala. Kuna jambo binafsi limeniacha na maswali kadhaa...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Muda ni sasa, kesho ipo karibu sana na tutashtukia tayari 2025 hiyo. Hatuna Tume Huru wala Katiba mpya. Kama tuna pesa za Mwenge wa Uhuru tunakosa vipi pesa ya kumalizia Katiba ambayo ipo tayari...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa. Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama...
14 Reactions
126 Replies
14K Views
Wale wabunge wanaojinasibu kuwa ni vichwa lakini ni darasa la saba tu sio tu hao Mchungaji Msiwa aliwasema. Bali hata viongozi wengine ambao hawatumii kabisa akili zao na kuelimika kwao (darasani)...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wetu mama, Tanzania ni ya watanzania wote, na kila RAIA ni muhimu sana kwa nchi yake. Watanzania hawana kwao kwingine ila Tanzania. Kilichompata Tundu Lissu ni vigumu kuamini kwamba yuko hai...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakati tunalalamikia viburi vya watawala, naomba niwakumbushe ukweli huu: Mwenyezi Mungu alietuumba, hakumpa mtu mmoja kila kitu kwani alijua hatari ya kufanya hivyo. Lakini sisi wanadamu, kwa...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Wanasema Ndugai amechokoza manyuki jike sasa ni neno kwa neno na kama haitoshi huwenda wakamvaa Ndugai hadi nyumbani kwakwe na ngoma ya kigodoro. Ndugai omba msamaha au wacha kujibizana na...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi kwanini Marais wengine wastaafu kama vile Mwl. Nyerere na wenzake waliomtangulia Rais Magufuli wao hawasifi kwa kujenga miundo mbinu? Swali ni je Marais wastaafu wakiongozwa na Mwl. Nyerere...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais Samia ànapokea hati za utambulisho wa mabalozi wateule wa nchi mbalimbali. Kazi Iendelee!
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amemfanyia umafya wa hali ya juu mwanasheria Msomi na wakili wa kujitegemea, Edmund Ngemela kwa kosa la kumtetea mwajiri sakata la wafanyakazi wa Hotel ya...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Naomba tusome hii story ya Jerry Muro akijitetea baada ya kumkamatwa wakili nakumweka ndani kinyume kabisha na sheria. DC anadai alifanyiwa vurugu, kwa Jerry Muro huyu afanyiwe vurugu tusione...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Watanzania tusijidumaze kiakili. Ukifuatilia mijadala inayoendelea mitandaoni na jinsi Watanzania walivyo na hofu na Wakenya dah! unaweza kudhani siyo Kenya hii ya hawa majirani zetu. Unakuta...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Neno heshima ni kubwa Sana kibinaadam hata kiroho, wabunge wa Tanzania kuwaita waheshimiwa Mimi inanitia kichefuchefu kwa sababu matendo ya mtu ndiyo yanayompa heshima. Sasa hawa wabunge...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Bila kupepesa macho hapa nainyooshea kidole CCM,ambacho mimi ni mshabiki wake. Tatizo ni nini hasa? mmekosa washauri? hamna tena watu wa kuona mbali japo hatua hata mia moja!? Hivi kwanini...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada? Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata. Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
TATIZO NI MDEE AU NI KUTOTII DEMOKRASIA? Na. Philipo Mwakibinga 0758910403 Kwa muda sasa nimekua nikifuatilia minyukano inayoendelea ndani na nje ya Bunge kuhusu Wabunge 19 wa Viti maalumu...
-1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom