Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HUU UOGA UMEANZA LINI CHADEMA? Na Mwal. NICHOLAS, SOMBETINI Nimekuwa muumini wa siasa za hoja kwa muda mrefu sasa kwangu CHADEMA imekuwa shule na wakati mwingine kama nyumba ya mawazo mbadala...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Hakika sasa ni dhahiri watanzania wamejua kwanini hayati magufuli na viongozi wa Mihimili walijiwekea kinga ya kutoshtakiwa. Nilikuwa najiuliza kwanini wanajiwekea kinga wanataka kufanya kitu...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola. Kamanda Muroto amewataka akina mama hao...
17 Reactions
226 Replies
19K Views
Tanzania ndo Taifa pekee hasa kwa miaka ya sasa ambapo kuanzia viongozi wake na wananchi ujidharau na kusifia mataifa mengine kwa kujipendekeza. Wakati wa Baba wa Taifa haya mambo hayakuwepo...
56 Reactions
165 Replies
11K Views
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa...
84 Reactions
458 Replies
33K Views
Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Hili suala lipo wazi kabisa kuwa hata kama akitokea kiongozi akajenga shule,hospital na miundombinu kwa manufaa ya umma. Lakini kwa kuwa alidhibiti wasiolipa kodi na wabadhirifu ataonekana...
7 Reactions
65 Replies
3K Views
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo...
13 Reactions
83 Replies
8K Views
Kitendo cha akina mama wa Chama cha demokrasia na maendeleo kuwa katika mstari wa mbele kupigania haki na utawala bora unaozingatia sheria na kayiba za nchi kimefikirisha wasomi, wanasiasa na...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya...
22 Reactions
191 Replies
15K Views
Kama Kuna zoezi gumu na linaweza kuitia hasara serikali nikushindwa kusimamia suala la taasisi zinazosimamia maji nchini. Taasisi hizi zihujumu huduma ya maji kwa njia zifuatazo; 1. Ukiomba...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
WAZEE WATATULIWE CHANGAMOTO ZAO, WASITUMIKE KUHALALISHA MATAKWA YA WATAWALA Jana Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
"Leo nimesoma mtandaoni, Dar es salaam kuna watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu,naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP upo hapa...
26 Reactions
177 Replies
10K Views
Kwa heshima kubwa napenda pole kwa kazi, sina mengi kwako ila nakukumbusha kidogo, ulivyo kuja Kivule Hapa DSM, Ili kujua zoezi la urasimishaji ardhi linaendeleaje, ulikuta baadhi ya wananchi...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni...
53 Reactions
154 Replies
17K Views
CHADEMA YAFANYA KIKAO CHA GHAFLA ZOOM MEETING KUSUSIA CLOUDS MEDIA Chadema wamefanya kikao kupitia Zoom Video Meeting lengo ni kuhamasisha wafuasi wao kususia clouds media kwa sababu wanazodai ni...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Yaani kiongozi anashuka kwenye gari anazungukwa na minders zaidi ya hamsini wengine wananing'inia kwenye milango, hadi kiongozi anaenda kukaa jukwaani kaambatana na minders zaidi ya 20...
31 Reactions
187 Replies
19K Views
Isije ikawa mlikuwa mnafurahia tu kuja kupata futru jioni. Halafu baadaye muanze kutusumbua sisi. Mmepata nafasi ya kuongea na Rasi je mmemwambia haya... 1. Vijana wenu hatuna kazi 2. Hamjalipwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani. Mkenda amesema watanzania wasiwe na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom