Rais Samia aondoka Dar kuelekea Zanzibar kwa Mapumziko ya Sikukuu

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
1,123
2,000
04174914-B480-4ECE-B1E1-2BA870EBFC55.jpeg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameondoka leo Mei 14, 2021 kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu

Mama Samia mapema leo alikuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Eid lililifanyika ukumbi wa Anatouglo Dar es salaam

Mheshimiwa Samia ameshawasili salama Zanzibar
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,260
2,000
... ukisikia kupumzika sasa ndio huku baada ya kazi kubwa iliyobadilisha kabisa mtazamo na matumaini ya wananchi in a very positive way ndani ya muda mfupi! Sio jitu linatoka kufukarisha na kukatisha wananchi tamaa halafu eti liko mapumzikoni; so what?
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,837
2,000
... ukisikia kupumzika sasa ndio huku baada ya kazi kubwa iliyobadilisha kabisa mtazamo na matumaini ya wananchi in a very positive way ndani ya muda mfupi!

Sio jitu linatoka kufukarisha na kukatisha wananchi tamaa halafu eti liko mapumzikoni; so what?
hapo nimekuelewa, nilidhani sentensi imeungana
hata mm nasema akapumzike maana tulimsubiri kwa hamu Biswalo Mganga na Ole Sabaya
sasa hata akichelewa kumuapisha Biswalo no problem
kina Ruge na Habinder na wale wa hujuma, kutakatisha pesa nk watatoka tu
 

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,857
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameondoka leo Mei 14, 2021 kwenda Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu

Mama Samia mapema leo alikuwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Eid lililifanyika ukumbi wa Anatouglo Dar es salaam
Sasa huyu mama atakaa dodoma? Maana kila kisababu yuko dar. Mwendazake alikutana na wazee wa dodoma ili kusema na taifa yeye wazee wa taifa ni darr tu utafikiri wazee wa dar ndio wazee wa taifa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom