Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa.
Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika...
Ni vema wale wakuu wa wilaya na mikoa wenye tuhuma za kutesa, kuteka, kuumiza na kutupa watu korokoroni bila sababu za msingi wakawekwa pembeni zama hizi za awamu ya 6.
Na Kigwangalla akawaombe...
Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.
Tundu...
"Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo...
Tanzania mpaka sasa tuna marais wastaafu watatu ukiacha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetangulia mbele za haki.
Hawa marais wastaafu ni wazoefu na wajuzi sana wa mambo kupitia...
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.
Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali...
Takwimu za serikali zinaonyesha Watanzania sasa wako ama wanakafiriwa kuwa Milioni 60.
Kwenye takwimu hizo, wazee ni Milioni 2 na ushee ila hawajafika Milioni 3. Wazee wa kuanzia umri wa miaka...
Mawakala wa mabeberu walikuwa wanajitahidi Sana kuiaminisha Dunia kuwa Watanzania wako kwenye mateso Sana chini ya utawala wa Rais Magufuli. Waliamini watanzania walio wengi watafurahi Sana na...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi...
Akizungumza leo na Waandishi wa Habari katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti liliyopo wilaya ya Serengeti mkoani Mara Waziri wa Maliasili na utalii,,Dkt.Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Ujerumani...
Wasalaam wanajamvi!
Mbio za mabadiliko ndani ya CCM zilianza jana huko dodoma kwa makada mbali mbali kuanza kugombea nafasi mbali mbali katika chama!
Moja ya nafasi zilizokuwa zina gombewa ndani...
Tanzania kwanza kwa neno hilo tu! Tunapata picha ya kizalendo na kitaifa inayo ibua hisia na kuleta maswali ya kwanini na lini kuhusu mstakabari makin na misingi imara ya kisiasa, kielimu...
Natoa tu angalizo kwamba hili taifa la Wamachinga limetengenezwa na ilani ya CCM huku Wakuu wa Wilaya na Mikoa wakishindana kutoa kwa wingi Vitambulisho vya Mjasiriamali.
Ghafla tena Wakuu wa...
Watanzania takribani milioni 22 sawa na asilimia 52 wanaugua ugonjwa wa kichocho na minyoo ya tumbo,Kanda ya Ziwa inaongoza kwa kuwa na maambukizi ya asilimia 50 hadi 80 ya magonjwa hayo...
Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo.
=======
Rais Samia Suluhu Hassan
Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha...
Inakuwaje taifa ambalo toka limepata uhuru uhaba wa madarasa, maji na huduma za afya ni jambo la kawaida, umaskini mkubwa kwa raia wake ni jambo la kawaida halafu bado linakuwa na sheria ambayo...
Hata alipokuwa hai hayati JPM kama bunge lingesema limkatae kwa kutumia ibara ya 46 ya katiba ya JMT na kumuondoa madarakani wananchi wangesimama na hayati JPM. Hili halina ubishi.
Kwa hiyo kama...
HUU UOGA UMEANZA LINI CHADEMA?
Na Mwal. NICHOLAS, SOMBETINI
Nimekuwa muumini wa siasa za hoja kwa muda mrefu sasa kwangu CHADEMA imekuwa shule na wakati mwingine kama nyumba ya mawazo mbadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.