Hii imetokea katia kijiji cha Makuyuni tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao...
Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.
Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.
Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa...
Rais Samia tumeshagundua nia yako njema ya kuiweka nchi mahali pazuri baada ya kuharibika mno.
Ni wazi kuwa kuna sheria zilitungwa kuchomekwa (hata kama ulikuwepo) ili kuwalinda watu na unaona...
Baada ya kiongozi ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kudai kuvamiwa na gari tatu za CCM, Katibu wa chama hicho tawala Mkoa wa Kigoma, Kajoro Vyohoroka amesema wanasubiria matokeo yatangazwe wafungue...
Tunayataka magazeti Kama mwanahalisi, Tanzania Daima na mengine yote yarudi mtaani.
Kwanini Jamvi la habari ilivunja sheria lakini halijawai kufungiwa ni sheria gani hizo zinavunjwa mbona...
Nashangazwa na hii mamlaka ya mapato TRA.
Wafanyakazi ni walipa kodi wazuri na hawana pa kukwepea lakini maajabu ni kuwa hawana hata namba ya kuwatambua kama wao nao ni walipa kodi yaani TIN namba.
Zilikuwa ni kauli za kipuuzi kwa muda wake wa kipuuzi. Tunamshukuru Mungu zimekoma kabisa kabisa.
Mungu akikupa mamlaka usiyatumie kama fimbo kwa kuwa unao uwezo wa kuyatumia kama fimbo na...
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya
Gesi kwenda Kenya mbona Kama...
Asubuhi....
"Jamani Watanzania wenzangu nafuatiliwa na Watu wa CCM na Gari zao wakiwa na Panga, Sime na Mundu huku Kura za Uwizi zikiwa zimepakiwa mniombee nisife kwani nami nina Familia na Bata...
Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake.
84(7)
" (d) if that person is removed from the
office of...
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema Serikali imechoshwa ma migogoro ndani ya makanisa.
Dkt. Mpango amesema hayo katika ibada ya kumsimika kitini Askofu Zephania wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya...
Nimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana.
Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani...
Ndugu Anthony Mtaka,
Dhamana ya kupelekwa Dodoma ni kubwa sana kuliko kama ungepelekwa Dar.
Umepelekwa Makao Makuu Rais ameonesha Imani kwako na uwezo wako kuwa juu ya siasa.
Nakutakia Kila la...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi...
Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?
Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?
Wangapi wana smartphone...
Katika siasa za Tanzania ni lini tutaacha kusemana ni lini tutaanza kuzisema political ideas za kujenga uchumi. Tunataka kuona watu wakiandika nyuzi za kujenga hoja za kukuza uchumi na sio...
SHAKA: Zitto Acha Ulalamishi na Siasa za Kitoto
Na Mwandishi wetu, Kigoma.
Chama Cha Mapinduzi kimesema Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kutapatapa na kutafuta mchawi baada ya...
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi.
Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya...
Dkt Mpango Amuwakilisha Rais Samia Sherehe Ya Kuwekwa Wakfu Askofu Wa Dayosisi Ya Victoria Nyanza
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdor Mpango amemuwakilisha Rais...
Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.