Dkt. Mpango: Serikali imechoshwa na migogoro ndani ya Makanisa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,966
141,973
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema Serikali imechoshwa ma migogoro ndani ya makanisa.

Dkt. Mpango amesema hayo katika ibada ya kumsimika kitini Askofu Zephania wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya ziwa Victoria.

Amesema ni vema Kanisani pakawa ni mahali pa watu kumuabudu Mungu na kamwe pasiwe sehemu ya kukuza migogoro.

Chanzo: ITV habari
 
Huyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki.

Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. No wonder kaenda kuzuru kaburi as if hakuwepo kwenye mazishi less than two months ago.

So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?

What is he referring to? Makanisa ya Anglican, Catholic, Lutherans or what?
 
Huyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki. Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?

Huyu jamaa toka apike data za uchumi wa nchi yetu

Huyu jamaa toka apate scandal ya kuchota pesa BOT nimeondoa imani kwake kabisa.
 
Anaanza kuleta story za kanisa wakati anasema serikali haina dini?

Mambo ya ajabu kabisa Kanisa gani lina mgogoro na limeupeleka kwake autatue?

Baada aongelee kukuza uchumi analeta propaganda za dini

Sina imani hata kidogo na huyu jamaa. I’m just honest.
 
Huyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki. Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?

What is he referring to? Makanisa ya Anglican, Catholic, Lutherans or what?
Kabisa la anglikan ambako yy ni mwumini.Ni kanisa ambako limekithiri migogoro na ufisadi mkubwa wa Mali za waumini.Ni kanisa ambalo pia kakake ni askofu mstaafu.Si kigoma Wala dar es salaam ni migogoro kila kukicha ndo maana ameamua kulipngelea.
 
Anaanza kuleta story za kanisa wakati anasema serikali haina dini?
Kanisa lolote unalolifaham lipo chini ya msajili wa taasisi na NGO's, serikali ndiye msimamizi wa taasisi hizo, so kuwepo kwa mgogoro wowote serikali inapaswa kuonya kama si kuwapatanisha.
 
Kabisa la anglikan ambako yy ni mwumini.Ni kanisa ambako limekithiri migogoro na ufisadi mkubwa wa Mali za waumini.Ni kanisa ambalo pia kakake ni askofu mstaafu.Si kigoma Wala dar es salaam ni migogoro kila kukicha ndo maana ameamua kulipngelea.
Sasa Kwanini azungumze as if ni makanisa yote? Yeye kama makamu wa rais, naona kama yuko confused.
 
Anaanza kuleta story za kanisa wakati anasema serikali haina dini?

Mambo ya ajabu kabisa Kanisa gani lina mgogoro na limeupeleka kwake autatue?

Baada aongelee kukuza uchumi analeta propaganda za dini

Huyu jamaa toka apate scandal ya kuchota pesa BOT nimeondoa imani kwake kabisa.
TANGU LINI WANAUFIPA MKALITAKIA MEMA TAIFA LENUU??
 
Huyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki. Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. No wonder kaenda kuzuru kaburi as if hakuwepo kwenye mazishi less than two months ago. So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?

What is he referring to? Makanisa ya Anglican, Catholic, Lutherans or what?
Tunao uhuru wa kutoa maoni lakini kwa busara na wakati mwingine tuwaone hawa wazee kama wazazi wetu vile.
Makanisa yanasajiriwa na kusimamiwa na Serikali kwa yeye kusema hivyo anajua anachomaanisha na kwani uongo hakuna migogoro kwenye makanisa yetu.
Nafikiri ni vema kwa sisi kua objective kwenye michango yetu ili tuchangia vitu vitakavyosaidia nchi kwa namna hii itafika hatua mitandao itadharaulika.
Migogoro ipo hata misikitini ila kwa kua alikua kanisani akalisemea hilo.
Simtetei yeyote ila nahimiza objectivity vitu vingine kama hatuelewi unaweza andika kuomba watu wakufafanulie.
 
Kabisa la anglikan ambako yy ni mwumini.Ni kanisa ambako limekithiri migogoro na ufisadi mkubwa wa Mali za waumini.Ni kanisa ambalo pia kakake ni askofu mstaafu.Si kigoma Wala dar es salaam ni migogoro kila kukicha ndo maana ameamua kulipngelea.
Dr mpango sio muanglikan Ni mkatoliki pure nimewahi kuwa jumuiya moja (usiniulize wapi)?
Na hiyo ameitoa Kama mgeeni rasmi tu
 
Kabisa la anglikan ambako yy ni mwumini.Ni kanisa ambako limekithiri migogoro na ufisadi mkubwa wa Mali za waumini.Ni kanisa ambalo pia kakake ni askofu mstaafu.Si kigoma Wala dar es salaam ni migogoro kila kukicha ndo maana ameamua kulipngelea.
Serikali inachoshwaje, inahusikaje ?

Na kama wamechoka anafanyaje, anaenda kufunga makanisa ?

VP kaongea gibberish tupu
 
Huyu mrundi ndio karithi akili za Jiwe,ana matumaini makubwa kwa mabeyo na TISS kwani Jiwe aliwaachia ujumbe kumuhusu
 
Huyu Dr Mipango, kiukweli mipango yake kwa sasa haileweki. Nadhani aliweka mipango yake karibia yote kwa mwendazake. No wonder kaenda kuzuru kaburi as if hakuwepo kwenye mazishi less than two months ago. So he is quite confused. Anazungumzia kanisa gani?

What is he referring to? Makanisa ya Anglican, Catholic, Lutherans or what?
Nafikiri hajakosea, Anglican church imejaa migogoro sana
 
Huyu jamaa toka apike data za uchumi wa nchi yetu

Huyu jamaa toka apate scandal ya kuchota pesa BOT nimeondoa imani kwake wote
Wote tuna uhuru wa kutoa maoni ila ni vema ukweli ubakie ,tuhuma za kuchota fedha !hizi ni tuhuma bado hazijathibitishwa na mahakama au tume yeyote ya kisheria,innocent until COURT of law iamue vinginevyo. Heshimu watawala ili nasi watuheshimu awamu hii wameonyesha heshima hiyo
 
Back
Top Bottom