Siasa za Tanzania: Tunasemana kuliko kusema mawazo ya kisiasa yanazoweza kukuza uchumi wa Taifa letu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,317
8,228
Katika siasa za Tanzania ni lini tutaacha kusemana ni lini tutaanza kuzisema political ideas za kujenga uchumi. Tunataka kuona watu wakiandika nyuzi za kujenga hoja za kukuza uchumi na sio kuwasema watu.

Nyuzi nyingi zinazoanzikwa ni za chuki kwa watu fulani au viongozi fulani.

Hii ni maana gani, je watu hawana maarifa ya kutosheleza ya kutoa hoja za kujenga.

Kuna msemo unasema
"Great Minds Discuss Ideas. Average Minds Discuss Events. Small Minds Discuss People"

Katika msemo huo tunapata watu wa aina tatu:

1. Watu wenye akili kubwa (great minds people)
2. Watu wenye akili ya kati (average minds people)
3. Watu wenye akili ndogo (small minds people)

Discussing people here means to talk about a person, typically in a negative, gossipy way.

Discussing events means to talk about the events happening around the world. Discussing ideas means to understand the higher level messages behind an event, to understand human behavior, to look beyond what’s given, and to find solutions to help the world.

“Small minds discuss people,” it means that those who discuss people as an end to itself are shallow. Unfortunately, a fair segment of the media and our population today dedicate themselves to discussing people. You have tabloid magazines, celebrity gossip sites, and people who follow celebrity gossip like it is the central goal of their lives.

Office politics is not uncommon. People backstab and criticize each other more often than we like. Even our politicians today make personal attacks and conduct smear campaigns. Online, we often see people shaming or attacking each other, or worse still, others supporting such behavior and joining in the attack, rather than taking a higher ground.

“Average Minds Discuss Events” When you switch from discussing people to events, there is an improvement because you look beyond people and focus on events. There is an element of objectivity as you’re now looking at facts, figures, and occurrences. Yet it is a logical fallacy to think that just discussing events makes us smarter.

“Great Minds Discuss Ideas” As someone becomes more curious about the world and looks beyond what’s immediately visible, they start to talk about not just people or events, but ideas.

Why people do the things they do. What drives them:
Why issues like murder, mass shootings, war, and crimes are happening. What we can do to prevent such violence;
How we can uplift others;
How we can improve as people;
World issues, because we’re not just citizens of a country but a citizen of the world;
Whether the direction we’re moving in, as a society, as a world, is actually good for us;
And most important of all, ideas to improve the world.

Discussing ideas means not just taking what is presented to you, but digging deeper. Understanding root causes. Understanding how something came to be. Questioning realities. Identifying solutions.

Find yourself in which part are you. Je, upo kwenye small minds, Je upo kwenye average minds au upo kwenye great minds.
 
Kama tupo shuleni mi notes miiingi?

Ila kiukweli siasa zetu zimekaa kibinafsi saana ndo mana tunasemana saana kuliko kujenga incha kwa ideas, yoote hayo ili kila mtu apate nafasi ale badala ya kujenga
 
Point yako nini haswa au ulikuwa una-google kimombo kwanza?
Point yake ni watu kuacha kuzungumzia mipango ya maendeleo badala yake tukaongelea watu binafsi - ie. Lissu, Mbowe, Bashiru, Polepole, Sabaya, Mdee, Ndugai etc.
 
Katika siasa za Tanzania ni lini tutaacha kusemana ni lini tutaanza kuzisema political ideas za kujenga uchumi. Tunataka kuona watu wakiandika nyuzi za kujenga hoja za kukuza uchumi na sio kuwasema watu.

Nyuzi nyingi zinazoanzikwa ni za chuki kwa watu fulani au viongozi fulani.

Hii ni maana gani, je watu hawana maarifa ya kutosheleza ya kutoa hoja za kujenga.

Kuna msemo unasema
"Great Minds Discuss Ideas. Average Minds Discuss Events. Small Minds Discuss People"

Katika msemo huo tunapata watu wa aina tatu.
1. Watu wenye akili kubwa (great minds people)
2.Watu wenye akili ya kati (average minds people)
3.Watu wenye akili ndogo (small minds people)

Discussing people here means to talk about a person, typically in a negative, gossipy way.
Discussing events means to talk about the events happening around the world. Discussing ideas means to understand the higher level messages behind an event, to understand human behavior, to look beyond what’s given, and to find solutions to help the world.

“Small minds discuss people,” it means that those who discuss people as an end to itself are shallow. Unfortunately, a fair segment of the media and our population today dedicate themselves to discussing people. You have tabloid magazines, celebrity gossip sites, and people who follow celebrity gossip like it is the central goal of their lives. Office politics is not uncommon. People backstab and criticize each other more often than we like. Even our politicians today make personal attacks and conduct smear campaigns. Online, we often see people shaming or attacking each other, or worse still, others supporting such behavior and joining in the attack, rather than taking a higher ground.

“Average Minds Discuss Events” When you switch from discussing people to events, there is an improvement because you look beyond people and focus on events. There is an element of objectivity as you’re now looking at facts, figures, and occurrences. Yet it is a logical fallacy to think that just discussing events makes us smarter.

“Great Minds Discuss Ideas” As someone becomes more curious about the world and looks beyond what’s immediately visible, they start to talk about not just people or events, but ideas.

Why people do the things they do. What drives them;
Why issues like murder, mass shootings, war, and crimes are happening. What we can do to prevent such violence;
How we can uplift others;
How we can improve as people;
World issues, because we’re not just citizens of a country but a citizen of the world;
Whether the direction we’re moving in, as a society, as a world, is actually good for us;
And most important of all, ideas to improve the world.
Discussing ideas means not just taking what is presented to you, but digging deeper. Understanding root causes. Understanding how something came to be. Questioning realities. Identifying solutions.

Find yourself in which part are you. Je upo kwenye small minds, Je upo kwenye average minds au upo kwenye great minds.
Hii haitofautiani sana na wale wanaosema hatutaki watu tunataka mfumo. Kana kwamba mfumo hautegemei watu. Au kwamba ideas ziko separate from watu.

Ni hivi tujifunze hata kwenye dini. Dini kuu zote ulimwenguni sasa hivi zinajiendesha bila hata waanzilishi wa hizo dini kuwepo physically makanisani, misikitini au mahekaluni. Lakini legitimacy ya hizo dini ni character ya waanzilishi wa hizo dini. Character ikiwa mbovu ya mwanzilishi, hiyo dini au imani au movement yoyote ile haitakuwa na muda mrefu. Itajifia tu kifo cha asili na kupotea.

Ndio maana tunatumia nguvu kubwa kudiscuss na kumscrutinize mtu kwa sababu mtu anaweza kuwa bomu la nuklia linalotembea kama yaliyomo kichwani mwake ni mabovu sana au anaweza kuwa mwokozi wa ulimwengu kama mtu huyo ni Mungu katika mwili wa damu na nyama.

Usiogope ndugu na usidanganywe na false dichotomy ya people vs ideas.
 
Pesa walizohujumiwa wananchi palee uwanjani plus usumbufu na hasara walizopata virudishwe na Bi Mkubwa. Tunajua legacy yake itakuwa ya shoka, panga, pangua na pinga kazi za maendeleo na wanamaendeleo halasi. Lini ataenda kutembelea mradi mkubwa wa umeme kule Mto Rufiji!???
 
Katika siasa za Tanzania ni lini tutaacha kusemana ni lini tutaanza kuzisema political ideas za kujenga uchumi. Tunataka kuona watu wakiandika nyuzi za kujenga hoja za kukuza uchumi na sio kuwasema watu.

Nyuzi nyingi zinazoanzikwa ni za chuki kwa watu fulani au viongozi fulani.

Hii ni maana gani, je watu hawana maarifa ya kutosheleza ya kutoa hoja za kujenga.

Kuna msemo unasema
"Great Minds Discuss Ideas. Average Minds Discuss Events. Small Minds Discuss People"

Katika msemo huo tunapata watu wa aina tatu.
1. Watu wenye akili kubwa (great minds people)
2.Watu wenye akili ya kati (average minds people)
3.Watu wenye akili ndogo (small minds people)

Discussing people here means to talk about a person, typically in a negative, gossipy way.
Discussing events means to talk about the events happening around the world. Discussing ideas means to understand the higher level messages behind an event, to understand human behavior, to look beyond what’s given, and to find solutions to help the world.

“Small minds discuss people,” it means that those who discuss people as an end to itself are shallow. Unfortunately, a fair segment of the media and our population today dedicate themselves to discussing people. You have tabloid magazines, celebrity gossip sites, and people who follow celebrity gossip like it is the central goal of their lives. Office politics is not uncommon. People backstab and criticize each other more often than we like. Even our politicians today make personal attacks and conduct smear campaigns. Online, we often see people shaming or attacking each other, or worse still, others supporting such behavior and joining in the attack, rather than taking a higher ground.

“Average Minds Discuss Events” When you switch from discussing people to events, there is an improvement because you look beyond people and focus on events. There is an element of objectivity as you’re now looking at facts, figures, and occurrences. Yet it is a logical fallacy to think that just discussing events makes us smarter.

“Great Minds Discuss Ideas” As someone becomes more curious about the world and looks beyond what’s immediately visible, they start to talk about not just people or events, but ideas.

Why people do the things they do. What drives them;
Why issues like murder, mass shootings, war, and crimes are happening. What we can do to prevent such violence;
How we can uplift others;
How we can improve as people;
World issues, because we’re not just citizens of a country but a citizen of the world;
Whether the direction we’re moving in, as a society, as a world, is actually good for us;
And most important of all, ideas to improve the world.
Discussing ideas means not just taking what is presented to you, but digging deeper. Understanding root causes. Understanding how something came to be. Questioning realities. Identifying solutions.

Find yourself in which part are you. Je upo kwenye small minds, Je upo kwenye average minds au upo kwenye great minds.
Kuna mtu nilimuuliza, kwa nini katika siasa Watanzania wanapenda kujadili watu, hawapendi kujadili hoja?

Akanijibu siasa za Tanzania ni vigumu kujadili hoja kwa sababu CCM imehodhi madaraka na hoja hazibadiliki, wanabadilika watu tu.

Nikashindwa kuamua kama nimcheke au nimhurumie.
 
GT Kiranga kwa heshima kabisa ili taifa tuweze kuachana na siasa za namna hii unashauri nini kifanyike ili watu wajadili hoja na sio watu?

Na je mfumo wa uko uliko(USA) uko vipi kwa kuwa shape watu wa aina hii? Na kama tutaucopy kama taifa tunaweza badilisha tabia hii? Kwa unavyo ifaham Tz na wanasiasa wake ?
 
Sasa ndio hapo unakutana wanasiasa wakuwasema watu mara wamseme Makonda, mara wamseme Mbowe, mara wamseme Sabaya, mara wamseme huyu sasa huo si umbeya
Nakumbuka kuna mbunge wa Jimbo x alikuwa ana lalamika kuwa Jimbo hilo halina maji mara akasimama kiongozi wa muhimiri kumjibu kuwa aliyekuwa mwenye Jimbo alilikimbia hii ndoTanzania na viongozi wake toka kwenye hoja ya maji mpaka kumtaja mtu
 
GT Kiranga kwa heshima kabisa ili taifa tuweze kuachana na siasa za namna hii unashauri nini kifanyike ili watu wajadili hoja na sio watu?

Na je mfumo wa uko uliko(USA) uko vipi kwa kuwa shape watu wa aina hii? Na kama tutaucopy kama taifa tunaweza badilisha tabia hii? Kwa unavyo ifaham Tz na wanasiasa wake ?
Ni vigumu kujadili hoja kama kiwango cha ujumla cha elimu katika jamii kiko chini.

Bila elimu unatofautisha vipi hoja na kiroja?

Na hapa ninaposema elimu, sikusudii elimu rasmi tu ya darasani, maana kuna watu wana mpaka Ph.D, ingawa hata hii nayo kiujumla hatujaiimarisha, nakusudia watu kuelimika ikiwa wana elimu rasmi ama la. Kuna wenye Ph.D lakini huwezi kuwajua mpaka uambiwe. Wanaongea pumba ati.

Ph.D inatakiwa ijulikane hata kama hujaambiwa huyu ana Ph.D.

Kuna tatizo kama nchi ina watu wengi wanajiendea tu hawana elimu kuhusu uraia, sayansi ya siasa, kodi, wajibu wa serikali, haki za raia, uhuru wa mtu binafsi, katiba, habari mpya, na hata muamko wa kutaka kujua habari hizi kwa upana tu.

Kuna tatizo mijadala ya siasa inapokuwa kama mijadala ya kishabiki ya Simba na Yanga.

Sasa kama mtu hana elimu na uelewa wa kujua katiba ya sasa inasema nini, au haki za binadamu ambazo nchi imetia saini mikataba ya kimataifa kuzikubali zikoje, unategemeqje aweze kujadili kwa hoja za kina mijadala ya kubadilisha katiba au kushurutisha serikali ifuate haki za binadamu?

Bila elimu ni vigumu.

Mfumo wa USA naweza kuuita ni tough love. Mwananchi usiposimamia haki zako kwa hoja utapigwa mpaka ufe. Hivyo hata mtu ambaye kaishia sekondari tu ana muamko wa kudai haki zake na kutenganisha hoja na viroja. Kazungukwa na jamii ambayo kila anapokwenda inamfunza, ni vigumu kuepuka hoja kama ambavyo ni vigumu kwa samaki kuepuka maji baharini.

Kwenye kuiga, kuna mengi mazuri tunaweza kuiga nchi nyingine, mambo kama kuweka sheria za uhuru wa habari zitakazoshurutisha uwazi na uwajibikaji zaidi, mabadiliko ya msingi ya katiba, na kadhalika, lqkini yote haya hayana maana kama watu hawatakuwa na usimamizi wa kutosha. Hapo tunarudi kule kule kwenye elimu na muamko wa watu.

Muamko wa watu, pamoja na elimu, ni muhimu sana. Mabadiliko mengi sana hutegemea muamkonm wa watu na elimu.

Mabadiliko ya katiba ni kitu muhimu. Hebu tuyaangalie haya. Tuseme katiba yetu ya sasa ni Volkswagen Beetle, tunataka katiba mpya na bora, Ferrari.

Yani unaweza kuwa na Volkswagen Beetle, ukalialia kusema unataka gari mpya iendayo kasi Ferrari. Ukqpewa Ferrari, kumbe tatizo ni wewe mwenyewe hujui kuendesha gari. Hujui kuendesha Beetle wala Ferrari na hivyo gari mpya lisikusaidie sana.

Watu ndio wanaleta mabadiliko. Bila mabadiliko ya kifikra ya watu, hata katiba mpya ikija itavunjwa na hakuna atakayefanya lolote. Si hii ya sasa imevunjwa? Sasa mpya kwa nini isivunjwe?

Kwenye kuiga pia inabidi tuwe makini tusiige sana, kwani mambo mengine wenzetu wamefanya kwa kulingana na mazingira yao.

Tunahitaji elimu, muamko wa umma, ushirikishwaji wa umma (inclusivity), uwazi na uwajibikaji (meritocracy).

Bila ya hivi vitu, tutaishia kuchambana mipasho ya "one step forward, two steps backwards" kila siku.
 
Back
Top Bottom