Huyu mupe yure murukeHawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Dpp ashtakiwi kwa maamuzi aliyofanya akiwa ofisini. Hiyo ndio katiba yetuHawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Akiwa DPP hawezi kufukuzwa kazi. Tunataka kumtoa akiwa Jaji.Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Kwani Mh. SSH hawezi kutengua kama alivyilofanya kwa Mkurugezi wa TPDCHawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Watanzania gani mata.ko wewe? the majority tumekaa tunawaangalia tu huyo mnayempampu na kuwasikiliza nyie keyboard warriors mnaojiita "watanzania"..endeleeni kumdanganya atajuta.Ni wazi kwamba Watanzania wanamachungu kwa vitendo vya DPP Mganga lakini kumshinikiza mama amchukulie hatua ni kumtaka ajitwalie madaraka ambayo hana. Ni kumtaka awe na tabia za mtangulizi wake!
Suala la Biswalo Mganga technicalities za kumuondoa ni complex kidogo. Tumpe nafasi Mh. Rais ashughulike nalo kwa njia inayofaa. Naamini anasikia sauti na vilio vya maumivu vya wananchi wake ila hawezi wala tusimshinikize avunje katiba na utawala wa sheria
Your era to be in the corridors of power and feast on the national cake is gone. Chance comes only once in life. If it was misused, then, we have no alternative but to regret the opportunity lost.Watanzania gani mata.ko wewe? the majority tumekaa tunawaangalia tu huyo mnayempampu na kuwasikiliza nyie keyboard warriors mnaojiita "watanzania"..endeleeni kumdanganya atajuta.
Andika kiswahili tu, maandiko yanasehema ufiche upumbavu wako usiifiche hekima yako.You era is gone. Chance come only once in life. If it was misused then we have alternative but to regret the opportunity lost.
Orodhesha hapa atrocities za BiswaloHawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Demanding too much..
Watu mnaanza kudeka sasa
Watanzania gani mata.ko wewe? the majority tumekaa tunawaangalia tu huyo mnayempampu na kuwasikiliza nyie keyboard warriors mnaojiita "watanzania"..endeleeni kumdanganya atajuta.
Nimerudia mara kadhaa kuisoma post yangu ili nione mahali nilipo teleza ili nistahili tusi ulilonirushia sijapaona. Kwa umri wangu na nilivyokuzwa siwezi kuthubutu kukurudishiaWatanzania gani mata.ko wewe? the majority tumekaa tunawaangalia tu huyo mnayempampu na kuwasikiliza nyie keyboard warriors mnaojiita "watanzania"..endeleeni kumdanganya atajuta.
Tume ya kijaji akiwemo wa Commonwealth ndiyyo yenye uwezo wa kutoa mapendekezo ya kumfukuzaAkiwa DPP hawezi kufukuzwa kazi. Tunataka kumtoa akiwa Jaji.
Hakuna anayemshinikiza hata kidogo na hatuna ubavu wa kumshinikiza. Tunatoa yaliyo moyoni mwetu. Ana washauri wa kisheria, watamwambia hili haliendi hivi kisheria, fanya hivi na hivi...Ni wazi kwamba Watanzania wanamachungu kwa vitendo vya DPP Mganga lakini kumshinikiza mama amchukulie hatua ni kumtaka ajitwalie madaraka ambayo hana. Ni kumtaka awe na tabia za mtangulizi wake!
Suala la Biswalo Mganga technicalities za kumuondoa ni complex kidogo. Tumpe nafasi Mh. Rais ashughulike nalo kwa njia inayofaa. Naamini anasikia sauti na vilio vya maumivu vya wananchi wake ila hawezi wala tusimshinikize avunje katiba na utawala wa sheria
Kama huzijui mfuate Jiwe kaburini atakuambia alikuwa amempa madaraka gani na aliyatumiaje. Maana nyie hasa wewe hujawahi kuona makosa, uvunjaji wa Katiba , Sheria wa Jiwe. Tunakutana Sana humu JF, huoni ubaya wa Jiwe hata kidogo.Orodhesha hapa atrocities za Biswalo
Hata magazeti yaliyokuwa yanaogopa kusema nayo yameona hilo na yanasemaKama huzijui mfuate Jiwe kaburini atakuambia alikuwa amempa madaraka gani na aliyatumiaje. Maana nyie hasa wewe hujawahi kuona makosa, uvunjaji wa Katiba , Sheria wa Jiwe. Tunakutana Sana humu JF, huoni ubaya wa Jiwe hata kidogo.
You do not need a microscope to spot out atrocities committed by DPP
Watanzania gani mata.ko wewe? the majority tumekaa tunawaangalia tu huyo mnayempampu na kuwasikiliza nyie keyboard warriors mnaojiita "watanzania"..endeleeni kumdanganya atajuta.
Utajuta wewe na umeshaanza kujuta. Watanzania tunasonga mbele. Piga chini Jiwe, poha chini Bashiru, Piga chini SLOWSLOW piga chini sabaya. Leo IED imenoga vibaya mno.Watanzania gani mata.ko wewe? the majority tumekaa tunawaangalia tu huyo mnayempampu na kuwasikiliza nyie keyboard warriors mnaojiita "watanzania"..endeleeni kumdanganya atajuta.
A stupid comment from a very very very stupid person and who deserves no respect at all...may be you don't know the history of how this belived country has been governed from one administration (phase) to another...Sasa nitakuambia;. Wakati was uongozi was Baba was taifa Mwalimu Nyerere kulikuwepo na malalamiko mengi pia kwa maamuzi yaliyofanywa kwa Nia njema...kulikuwepo na operesheni vijiji mwaka 1973, 1974 na 1975..watu wakahamishwa kutoka maju bani mwao, wakachomewa nyumba na hata mazao njaa kubwa ijatokea nchini mwaka 1974..maelfu kwa maelfu ya watu waliathirika kwa operesheni ile ..sisi wengine tulikuwepo na tuliona ingawa tulikuwepo wadogo..baba yangu alikuwa na nyumba nzuri kwa kiwango chake imeezekwa bati na ikabomolewa ili kutoa bati...miaka hiyo kukawa pia na operesheni maduka ili kuanzisha maduka ya ushirika...huko vijijini maduka ya watu binafsi mengi yakatoweka na bidhaa kuadimika...Mambo yakawa mabaya zaidi baada ya Vita na Uganda from 1978 to 1983 bidhaa hamna madukani shelves are empty tunapanga foleni kununua sukari, sabuni, Michelle na unga was njano maarufu Kama unga was Yanga...tulikuwepo na ration cards..kukawa na ulanguzi miubwa wa bidhaa ...akaja Sokoine kama wazuri mkuu akaanzisha operesheni ulanguzi...watu wakanyang'anywa nyumba wengine wakaziachia wenyewe nyumba zilizojengwa kwa dhuluma, watu wakazitupa tv baharini, wakatupa na fedha za wizi...Sokoine akiwa Waziri Mkuu akaruhusu watu binafsi kuleta bidhaa..kukawa na daladala za chai maharage, maduka binafsi yakashamiri...Kama huzijui mfuate Jiwe kaburini atakuambia alikuwa amempa madaraka gani na aliyatumiaje. Maana nyie hasa wewe hujawahi kuona makosa, uvunjaji wa Katiba , Sheria wa Jiwe. Tunakutana Sana humu JF, huoni ubaya wa Jiwe hata kidogo.
You do not need a microscope to spot out atrocities committed by DPP