Kwanini wafanyakazi hatuna TIN numbers?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Nashangazwa na hii mamlaka ya mapato TRA.

Wafanyakazi ni walipa kodi wazuri na hawana pa kukwepea lakini maajabu ni kuwa hawana hata namba ya kuwatambua kama wao nao ni walipa kodi yaani TIN namba.
 
Hilo ni Jipu,Mfanyakazi analipa kodi nyingi sana kumzidi hata mkinga wa k/koo mwenye msingi wa 500m.
 
Huu ni usanii wa muda mrefu umetokana na uvivu uliopitiliza wa kufikiri wa viongozi TRA.
Jipu la kwapani hilo
 
Nashangazwa na hii mamlaka ya mapato tra.wafanyakazi ni walipa kodi wazuri na hawana pa kukwepea lakini maajabu ni kuwa hawana hata namba ya kuwatambua kama wao nao ni walipa kodi yaani tin namba.

Swali zuri sana ilibidi alijibu Bade
 
TIN NUMBER NI BURE HAIUZWI...jipatie TIN number katika ofisi za karibu za TRA
 
Kodi tulipe sisi wafanyakazi, form zinajazwa TIN ya mwajiri.

Kweli kabisa waliofanya hivyo kweli hawakufikiria au walifanya makusudi.

TIN namba anakuwa nayo mwajiri wako ambaye ndiye mwenye jukumu la kupeleka kodi zote za wafanyakazi walioko chini yake

Kwa nn inafanyika hivyo?
Naamini ni kutoa urahisi wa usimamizi na ufuatiliaji wa kodi husika hasa kwa kuzingatia kuwa anaewasilisha kodi ni Mwajiri.

Chukulia mfano una wafanyakazi 200 kila mmoja akiwa na TIN namba yake maana yake italazimika kodi kulipwa kwa namba hizo....inaweza kuwa kwa namna mbili....moja ni wewe mwenyewe kwenda kulipa TRA mwenyewe au mwajiri kuwa na sheet ambayo itakuwa na jina, TIN namba na PAYE ya kila mfanyakazi jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na huweka ugumu wa ufuatiliaji

Kwa watu wa TRA ni rahisi kwao kufuatilia kwani wakitaka kujua nidhamu ya uwasilishaji wanaweza kuja kwenye shirika/ofisi na ku-sample baadhi ya salary slip na kuangalia kama kilochowalishwa TRA kwa kila mfanyakazi ni sawa na kilichopo kwenye makato yao ya PAYE kwenye salary slip

Hivyo binafsi naona itakuwa na ugumu wa administration ya PAYE kama kila mfanyakazi atakuwa na TIN yake

Nionavyo mimi lakini and I stand to be corrected
 
Sikubaliani na wewe, hii inachangia wizi, unapokuwa na wafanyakazi wengi unaweza kupeleka record ya uongo lakini kila mmoja akiwa na tin number yake huwezi kudanganya.

kwa mfumo wa kicompyuta haiwezi kuwa ni usumbufu, kwani tra wanakuwa na majina na tin namba za wafanyakazi wa kampuni fulani ndani ya database moja , na technologia kwa sasa mwajiri anauwezo wa kufanya malipo online bila usumbufu kwa kubofya tu.

Zipo ofisi nyingi najua wanapeleka record za uongo na wafanyakazi hawafuatilii hili kwakuwa haliwahusu wao wanavimba na makato ya mafao yo tu,
 
TIN namba anakuwa nayo mwajiri wako ambaye ndiye mwenye jukumu la kupeleka kodi zote za wafanyakazi walioko chini yake

Kwa nn inafanyika hivyo?
Naamini ni kutoa urahisi wa usimamizi na ufuatiliaji wa kodi husika hasa kwa kuzingatia kuwa anaewasilisha kodi ni Mwajiri.

Chukulia mfano una wafanyakazi 200 kila mmoja akiwa na TIN namba yake maana yake italazimika kodi kulipwa kwa namba hizo....inaweza kuwa kwa namna mbili....moja ni wewe mwenyewe kwenda kulipa TRA mwenyewe au mwajiri kuwa na sheet ambayo itakuwa na jina, TIN namba na PAYE ya kila mfanyakazi jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na huweka ugumu wa ufuatiliaji

Kwa watu wa TRA ni rahisi kwao kufuatilia kwani wakitaka kujua nidhamu ya uwasilishaji wanaweza kuja kwenye shirika/ofisi na ku-sample baadhi ya salary slip na kuangalia kama kilochowalishwa TRA kwa kila mfanyakazi ni sawa na kilichopo kwenye makato yao ya PAYE kwenye salary slip

Hivyo binafsi naona itakuwa na ugumu wa administration ya PAYE kama kila mfanyakazi atakuwa na TIN yake

Nionavyo mimi lakini and I stand to be corrected

It sound good
 
Vipi kuhusu mishahara na michango ya pension, mbona wanaweza kuweka kwenye akaunti ya kila mwajiriwa? Kwa nini kodi ishindikane?
 
Wafanyakazi wengi wana TIN lakini PAYE zao haziingizwi kwenye statement zao. Hebu fikiria mtu analipa PAYE 800,000
kwa mwezi yaani 9,600,000 kwa mwaka lakini haonekani kama mlipa kodi. It is unfair kabisa. Huyo mwajiri asipopeleka hiyo PAYE si jipu kama mengine?
 
TIN namba anakuwa nayo mwajiri wako ambaye ndiye mwenye jukumu la kupeleka kodi zote za wafanyakazi walioko chini yake

Kwa nn inafanyika hivyo?
Naamini ni kutoa urahisi wa usimamizi na ufuatiliaji wa kodi husika hasa kwa kuzingatia kuwa anaewasilisha kodi ni Mwajiri.

Chukulia mfano una wafanyakazi 200 kila mmoja akiwa na TIN namba yake maana yake italazimika kodi kulipwa kwa namba hizo....inaweza kuwa kwa namna mbili....moja ni wewe mwenyewe kwenda kulipa TRA mwenyewe au mwajiri kuwa na sheet ambayo itakuwa na jina, TIN namba na PAYE ya kila mfanyakazi jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na huweka ugumu wa ufuatiliaji

Kwa watu wa TRA ni rahisi kwao kufuatilia kwani wakitaka kujua nidhamu ya uwasilishaji wanaweza kuja kwenye shirika/ofisi na ku-sample baadhi ya salary slip na kuangalia kama kilochowalishwa TRA kwa kila mfanyakazi ni sawa na kilichopo kwenye makato yao ya PAYE kwenye salary slip

Hivyo binafsi naona itakuwa na ugumu wa administration ya PAYE kama kila mfanyakazi atakuwa na TIN yake

Nionavyo mimi lakini and I stand to be corrected

Mbona pension tunalipa tofauti na kila mmoja ana namba yake na mashirika tofauti, ugumu uko wapi?
Nataka kutambulika mimi ni mlipa kodi mwajiri naye alipe yake.
 
Wafanyakazi wanaruhusiwa kuwa na TIN namba, nenda TRA ukajisajili. Swala la kwamba unalipa kwa kupitia mwajiri au kwa TIN ya mwajiri sio muhimu. kwa mfano ukitaka kuuza/kununua chombo chako cha usafiri unatakiwa kuambatanisha TIN number utafanyaje? Pia kumbuka wafanyakazi hawazuiwi kufanya biashara binafsi. Nimeona pia baadhi ya watumishi wa TRA wakiwa na TIN number.
 
TIN namba anakuwa nayo mwajiri wako ambaye ndiye mwenye jukumu la kupeleka kodi zote za wafanyakazi walioko chini yake

Kwa nn inafanyika hivyo?
Naamini ni kutoa urahisi wa usimamizi na ufuatiliaji wa kodi husika hasa kwa kuzingatia kuwa anaewasilisha kodi ni Mwajiri.

Chukulia mfano una wafanyakazi 200 kila mmoja akiwa na TIN namba yake maana yake italazimika kodi kulipwa kwa namba hizo....inaweza kuwa kwa namna mbili....moja ni wewe mwenyewe kwenda kulipa TRA mwenyewe au mwajiri kuwa na sheet ambayo itakuwa na jina, TIN namba na PAYE ya kila mfanyakazi jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na huweka ugumu wa ufuatiliaji

Kwa watu wa TRA ni rahisi kwao kufuatilia kwani wakitaka kujua nidhamu ya uwasilishaji wanaweza kuja kwenye shirika/ofisi na ku-sample baadhi ya salary slip na kuangalia kama kilochowalishwa TRA kwa kila mfanyakazi ni sawa na kilichopo kwenye makato yao ya PAYE kwenye salary slip

Hivyo binafsi naona itakuwa na ugumu wa administration ya PAYE kama kila mfanyakazi atakuwa na TIN yake

Nionavyo mimi lakini and I stand to be corrected
Hapo ndg mchangiaji mada hii umejichanganya sana kwani makato ya mifuko ya jamii kila mfanyakazi anakuwa na namba ya utambulisho.Kwani nao TRA isitumie mfumo huo huo kama mifuko ya jamii?????????
 
Ni kweli kila kinachokusanywa inabidi kiingie kwenye fuko moja la hazina ya taifa ili kuleta maendeleo ya nchi na hapa TIN ndilo suluhisho. Hii ni wazi hizi pesa accountability yake inaweza kuishia kwenye utata.
Kweli Tanzania pesa ziko tatizo ni kuzijua ziko wapi na zinatumika vipi. Ndio maana watu wanabeba containers bila hata TRA kujua!
 
TIN namba anakuwa nayo mwajiri wako ambaye ndiye mwenye jukumu la kupeleka kodi zote za wafanyakazi walioko chini yake

Kwa nn inafanyika hivyo?
Naamini ni kutoa urahisi wa usimamizi na ufuatiliaji wa kodi husika hasa kwa kuzingatia kuwa anaewasilisha kodi ni Mwajiri.

Chukulia mfano una wafanyakazi 200 kila mmoja akiwa na TIN namba yake maana yake italazimika kodi kulipwa kwa namba hizo....inaweza kuwa kwa namna mbili....moja ni wewe mwenyewe kwenda kulipa TRA mwenyewe au mwajiri kuwa na sheet ambayo itakuwa na jina, TIN namba na PAYE ya kila mfanyakazi jambo ambalo ni usumbufu mkubwa na huweka ugumu wa ufuatiliaji

Kwa watu wa TRA ni rahisi kwao kufuatilia kwani wakitaka kujua nidhamu ya uwasilishaji wanaweza kuja kwenye shirika/ofisi na ku-sample baadhi ya salary slip na kuangalia kama kilochowalishwa TRA kwa kila mfanyakazi ni sawa na kilichopo kwenye makato yao ya PAYE kwenye salary slip

Hivyo binafsi naona itakuwa na ugumu wa administration ya PAYE kama kila mfanyakazi atakuwa na TIN yake

Nionavyo mimi lakini and I stand to be corrected

Naunga mkono Hoja yako..ni sawa na mteja anae nunua bidhaa madukani,mwenye TIN ni mwenye duka ila wateja ambao ndio walipa kodi hatuna Tin ata kama umenunua Mali za milion 300
 
Back
Top Bottom