Fungueni magazeti "Acheni Uhuru wa vyombo vya habari"

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Tunayataka magazeti Kama mwanahalisi, Tanzania Daima na mengine yote yarudi mtaani.


Kwanini Jamvi la habari ilivunja sheria lakini halijawai kufungiwa ni sheria gani hizo zinavunjwa mbona haziwekwi wazi

Sio ombi ni amri magazeti yote yafunguliwe bila mashariti

Au kama ni kuyafungia fungieni hata Uhuru na jamvi la habari.

Tunataka habari za uchunguzi sio propaganda kama ilivyo sasa

Ajira zitaongezeka waandishi wapo mtaani tu hawana kazi wakati fursa za kazi zipo mnazifunga.

Mnataka wawekezaji gani zaidi ya hawa ?

Mimi nawaambia kamwe hakuna taifa litaendelea bila Uhuru wa vyombo vya habari.

Rais alihaidi mwenyewe aache double standard!!
 
Back
Top Bottom