Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa imepita wiki usafiri unaotumika kutufikisha mjini ni bodaboda na bajaji hali ambayo imepelekea maisha yetu kuwa magumu. Chukulia route ambayo mtu anatumia 800 kwenda na kurudi saizi inabidi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumbukumbu zangu zinaonyesha, mara kadhaa manaibu waziri wa wizara ya kilimo wanapata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa Nakumbuka mzee Stephen Masato Wassira, alikuwa naibu waziri...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa heshima na taadhima mama yetu wa Taifa, mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama napenda kwanza kukusalimu "Kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Ama baada...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi. Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Makocha wanatofautiana nataka Lengai ulifahamu hilo. kuna wakati wanatoa wachezaji na kupimzisha mchezaji kwa sababu ya mechi ya Fainali na kwa sababu zingine maalum. Timu imeshafika robo fainali...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Utamaduni wa kujivutavuta sio mzuri kwa taifa na wananchi wetu. Hasa kwenye idara za serikali Tume ya kutafuta chanjo nayo inejadili ......... badala ya kufanya maamuzi Wakezaji wanazubaishwa...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Huo ndio ukweli. CCM wanafanya wanavyotaka inavyoonekana kwa sasa wapinzani wamekaa kimya wakiangalia ni kwa jinsi gani CCM wanavyopapatuana, na yote haya ni kutaka kuudanganya umma kuwa sasa CCM...
2 Reactions
8 Replies
793 Views
Ni jambo la kushangaza. Oooh tutateua kutoka vyama vya upinzani pia Sasa nauliza kwanini usimteue Lema, Msigwa, Sugu au Lissu? Au hawa sio wapinzani?
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia sheria na kanuni kadhaa kuhusu hili swala la KUSTAAFU kwa wakuu wa mikoa. Nimesoma sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 (The Public Service Act,2002) pamoja na...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Fahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uongozi wa mikoa (The Regional Administration Act) Sura ya 97, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni maofisa (watumishi) wa Umma (Kifungu cha 3 na kifungu cha 4...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Bado masanduku ya kura hawajakimbia nayo? Bado kura zilizopigwa tayari hazijatumbukizwa kwenye masanduku ya kura Bado mawakala hawajafurushwa kutoka kwenye vituo vya kupigia kura? Bado Majina...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Asalam-aleikoum Wana-JF! Swali hili linahusu tangazo la serikali kuhusu tangazo la Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kupiga marufuku biashara barabarani ambazo ni kinyume na kanuni za town...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia . 2. Viongozi waliopo kwenye Utumishi wa Umma wawe...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Gwarama wilayani Kakonko na MwanaJF Ndugu Elia F Michael aliyekuwa mgombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo mwaka 2018 jimbo la Buyungu ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na...
4 Reactions
151 Replies
19K Views
Nadhani wakati umefika kwa wapinzani kuwatangaza watu hawa wawili(Jiwe na Boss wa Mjengoni) kuwa ni maadui wa demokrasia hapa nchini hasa demokrasia ya vyama vingi. Kama mlivyowahi kutangaza ile...
13 Reactions
32 Replies
5K Views
Jana Mei 15, 2021 ilikuwa siku ya familia duniani. Familia ndiyo taasisi ya kwanza ambayo sote tumepita na wenye bahati tumeitengeneza au tutaitengeneza. Sasa hivi taasisi ya familia inapitia...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
IWEJE CHAMA CHA MAPINDUZI HAWAKUPO KATIKA MAZIKO YA ABBAS SYKES? Hukaa mara nyingi sana nikajiuliza na si katika kujipigia tarumbeta bali ni katika kufikiri kuwa ingekuwaje kama Kleist Sykes...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Duniani kote hii ishu bado haijaisha. Ilifikiriwa juwa labda demokrasia itafanya watu wapewe vyeo vya kiasiasa kutokana na uwezo na si uzao wai lakini hili bado halijatokea. Ukiangalia kwenye...
1 Reactions
1 Replies
665 Views
Ni muda sasa kwa muonekano wake na haiba yake ya usoni ameonekana umri wake umesonga, historia yake ya utumishi wa umma tangu akiwa pale Mlimani campus kama mkufunzi pia ni muda umepita. Wengine...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Lissu amewaeleza watanzania wanaoishi Marekani kuwa Joseph Sokoine alimtembelea hospitalini Ubelgiji baada ya kushinikizwa na viongozi wa umoja wa Ulaya,pia alimtembelea kwa mara ya pili baada...
23 Reactions
72 Replies
15K Views
Back
Top Bottom