Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya...
5 Reactions
49 Replies
10K Views
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na...
6 Reactions
160 Replies
17K Views
Kila zama na Kitabu chake , na kila linalo kutokea shukuru mungu. Kwa haya yafuatayo tutakukumbuka kwa muda mrefu sana ujao. 1 ) Haki katika kuendesha, kusimamia, kugawa na usambazaji wa maji...
9 Reactions
140 Replies
11K Views
Katika hali ya kushangaza Mkuu wa wilaya ya Tabora Mh.Komanya Kitwala ,aliwaita watendaji wa kata za Manispaa ya Tabora ofisini kwake,baada ya watendaji kufika ili kusikiliza walichoitiwa. Jambo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA...
3 Reactions
85 Replies
16K Views
Habari wadau..! Hivi karibuni naona kama wizara ya viwanda imekuwa ipo kimya sana,haitupi mrejesho mpango wa kuwa na serikali ya viwanda umefia wapi..? Nashauri serikali iwe inafanya review ya...
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Heshima sana wanajamvi, Tanzania ilipata uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.Tumepitia awamu mbali mbali kuanzia awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere hadi sasa awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
UTEUZI RC KILIMANJARO: Rais John Magufuli amteua mwenyekiti wa ACT- Wazalendo, Anna Mghwira, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Ikulu yasema
37 Reactions
931 Replies
125K Views
Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
KWA HILI LA BISWALO, CHADEMA TUJITAFAKARI KWA KINA! Na, Julian Chacha – RORYA Hivi karibuni kumeibuka utaratibu mpya wa kuitumia CHADEMA kama daraja la kupitisha hoja zenye maslahi binafsi kwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema mkoa wake umepokea vitambulisho vya mjasiriamali 69,000 na ameahidi vyote vitachukuliwa na wajasiriamali. RC amesema mwaka juzi walipewa vitambulisho 71,000...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana Hawa wa kizazi hiki wa CCM Ni tofauti kubwa Sana na vijana wa wakati ule,enzi za akina Mwalimu,Malechela,Kikwete,n.k. Hawa walikua na hoja kwenye mijadala mbalimbali na hata ya Kimataifa...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa ya serikali ya Tanzania iliyosambazwa kwa vyombo vya habari . Shughuli hizo zitafanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete .
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Watanzania sijui tuseme kuna kitu hakipo sawa kwenye vichwa vyetu. Marais wastaafu wawili waliisha andika vitabu kuhusu maisha yao tangu utotoni mpaka madarakani. Wameonyesha kwenye maandishi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za Jumapili wanajamii Naamini mko vzur na weekend ikiwa inaisha taaratibu ila kwa uhakika. Leo nimepita pita kwenye mitandao ya kijamii nimeona baadhi ya wanawake wakiwa wanalalamika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT. Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki. Kadhalika...
7 Reactions
30 Replies
6K Views
Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzini na Makamo wa Rais wa Tanzania leo Mei 26, 2021 amepiga kura kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Buhigwe. Dkt Mpango amepiga...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Sasa imepita wiki usafiri unaotumika kutufikisha mjini ni bodaboda na bajaji hali ambayo imepelekea maisha yetu kuwa magumu. Chukulia route ambayo mtu anatumia 800 kwenda na kurudi saizi inabidi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumbukumbu zangu zinaonyesha, mara kadhaa manaibu waziri wa wizara ya kilimo wanapata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa Nakumbuka mzee Stephen Masato Wassira, alikuwa naibu waziri...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom