Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na...
Wadau
Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa,
1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake...
Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo...
Kwa wasomi wa elimu ya kweli (Elimu ya Biblia). Nawazungumzia watu wanasoma unabii na masuala ya nyakati ndio pekee wanaojua kinachoendelea kwa sasa duniani.
Suala la chanjo ya COVID19 ni suala...
Akiongea na wanafunzi na watoto wa kike, mh.Rais Samia Suluhu Hassan ALIWASHAJIISHA adabu na nidhamu vijana hao huku akiwasimulia mikasa aliyoipata katika safari yake ya maisha.
Alianza...
Hayo yamesemwa na waziri wa nishati ambae pia ni mbunge wa Chato.
Mbio za Mwenge kuhitimishwa Chato
JUMAMOSI , 15TH MEI , 2021
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021, zenye kauli mbiu isemayo...
Hichi kitu kinachoitwa "Virusi vya Ukimwi" kina maajabu yenye kusisimua sana.
Kwanza, hakuna mtu yeyote aliyewahi kukiona Kirusi cha Ukimwi. Sio mwanasayansi wala maamuma.
Pili, kuna watu...
Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa...
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio...
Rais Samia Suluhu Hassan amekamilisha dhima ya uteuzi wa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa,kwa kuwaapisha kwa mujibu wa sheria.
Katika Mambo yaliyojiri na mvuto ni hotuba fupi ya NDUGAI...
Salaam,
Ramadhan Maqbul.
Wanajamvi naomba kuongea haya na labda kuibua hoja. Kama nilivyoanza kwenye kichwa cha Habari hivi Katika historia ya nchi hii ni mara ya kwanza Rais anafariki akiwa...
Mitazamo Kinzani kuhusu Tumbua ya Mh. Rais
Kuna kundi limejitokeza kupinga utenguzi anaoufanya Mh.Rais kwa baadhi ya watu wakizihusisha tenguzi hizo kuharibu legacy ya Magufuli.
Ukweli tabia hii...
Nilishangaa kidogo kusoma Press Release ya Ikulu ambayo ilitangaza majina ya Wakuu wa Mikoa ''wapya'' ambao WAMETEULIWA na Rais Samia. Kilichonishangaza ni lugha iliyotumika lakini ''kiuhalisia''...
Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi...
Rais Samia anawaapisha majaji wateule Ikulu, jijini Dar es salaam.
Tukio liko mubashara TBC na Channel ten.
Updates:
RAIS SAMIA AWATAKA MAJAJI KUONGOZWA NA UTU
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
Balozi Joseph Edward Sokoine alimtembelea Tundu Lissu Hospital Belgian baada ya tukio hili alirejeshwa nyumbani haraka.
Leo Mh Rais Mama Samia Suluhu kamteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya...
MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA BUHIGWE
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhigwe Felix Kavejuru amepata ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo baada ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani Atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Ushonaji.
Kiwanda hicho cha ushonaji ni mali ya Jeshi la Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.