Hongera Mtaka: Ni heshima kubwa kwako kuwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

Kila la heri kwake! Aongeze shule zaidi za kidato cha tano na cha sita! Zilizopo ni chache ukilinganisha na hadhi ya Jiji lenyewe! Barabara nyingi Dodoma ni majanga tu, na hasa nyakati za msimu wa mvua! Maji ya Duwasa bado ni ya mgao kwenye maeneo mengi!

Vile viwanda vyake vya kule Simiyu na zile promo zake za kuhamasisha Wawekezaji, azihamishie Dodoma sasa kwa kutenga maeneo maalum kwa ajili ya huo uwekezaji! Atengeneze maelfu ya ajira kwa Vijana kupitia viwanda vidogo vidogo, na pia vikundi mbalimbali vya ujasiriamali.

Mimi pia nina imani na huyu jamaa, maana anapenda action zaidi kuliko maneno! tofauti kabisa na wale Mataga wapenda kiki wa Hayati! Akina Chalamila.

Kifupi Dr. Bilinith Mahenge, alikuwa yupo yupo tu! Hakuwa na ubunifu wowote ule!
 
Mtaka alitakiwa awe na cheo kikubwa sana either Waziri mkuu au waziri tamisemi

Jamaa kichwani yupo vizuri sana halafu hana mihemuko kufanya maamuzi ana utulivu jamaa ukienda ofisini kwake anatoa ushirikiano wa hali ya juu sana

Kama ningekuwa mimi Ndiye rais alitakiwa kuteuliwa mapema kuwa mbunge then Waziri tamisemi Jamaa namkubali sana

Kama nchi inataka watu wa kusadia nchi basi ni kutafuta vijana aina ya Mtaka.

Na idara ya usalama wa Taifa kuwalinda juu ya kuchafuka.

Hawa ndio type ya viongozi taifa sasa linawahitaji.
 
Safi endelea kumkubali anaingia kwenye kapu la viongozi wakuu wa nchi siku zijazo kura yako itunze
Mtaka alitakiwa awe na cheo kikubwa sana either Waziri mkuu au waziri tamisemi

Jamaa kichwani yupo vizuri sana halafu hana mihemuko kufanya maamuzi ana utulivu jamaa ukienda ofisini kwake anatoa ushirikiano wa hali ya juu sana

Kama ningekuwa mimi Ndiye rais alitakiwa kuteuliwa mapema kuwa mbunge then Waziri tamisemi Jamaa namkubali sana

Kama nchi inataka watu wa kusadia nchi basi ni kutafuta vijana aina ya Mtaka na kuwalinda juu ya kuchafuka.

Hawa ndio type ya viongozi dunia ya sasa inawahitaji.
 
Kila la heri kwake! Aongeze shule zaidi za kidato cha tano na cha sita! Zilizopo ni chache ukilinganisha na hadhi ya Jiji lenyewe! Barabara nyingi Dodoma ni majanga tu, na hasa nyakati za msimu wa mvua! Maji ya Duwasa bado ni ya mgao kwenye maeneo mengi!

Vile viwanda vyake vya kule Simiyu na zile promo zake za kuhamasisha Wawekezaji, azihamishie Dodoma sasa kwa kutenga maeneo maalum kwa ajili ya huo uwekezaji! Atengeneze maelfu ya ajira kwa Vijana kupitia viwanda vidogo vidogo, na pia vikundi mbalimbali vya ujasiriamali.

Mimi pia nina imani na huyu jamaa, maana anapenda action zaidi kuliko maneno! tofauti kabisa na wale Mataga wapenda kiki wa Hayati! Akina Chalamila.

Kifupi Dr. Bilinith Mahenge, alikuwa yupo yupo tu! Hakuwa na ubunifu wowote ule!
Dodoma SIDO iko active sana, na viwanda vidogo vidogo vya mafuta ya alizeti ni vingi sana.
 
Wapendwa sio kila jambo ni la kupinga kha
Kama ni kiongozi mwadilifu hata kama alikuwa kwenye serikali ya mwendazake haina maana naye alibariki yote
Simfahamu kivileee lakini walio wengi wamempongeza so ni jambo jema kumpongeza
Kama kila jambo litapingwa basi hakuna aliye na sifa ya kuliongoza Taifa
Kuna wasiostahili kuongoza lakini sio wote
Tueneze Upendo Kwanza Mengine Yatakuja
Hahahhh mvua ya mawe intatokea pande ipi?
 
Inaitwa hekima hiyo...
 
Back
Top Bottom