CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,752
139,553
Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi.

Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi

Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye tamthilia ya Halima Mdee.

Simba 5 Mufulira Wonders 0

Kazi Iendelee!
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi...
Mkuu mbona unatumia takwimu za kale kujenga hoja za kisasa?

"Simba 5 Mufulira Wonders 0".

Wakati unajua kwa dhati kabisa takwimu mpya na za kisasa zipo?

"Kaizer Chiefs 4 Simba 0"

Kazi yako nzuri inaweza kupata hati chafu kwa dhana na mashaka ya "plagiarism" kama ile "thesis" ya bwana yule.
 
Mkuu mbona unatumia takwimu za kale kujenga hoja za kisasa?
"Simba 5 Mufulira Wonders 0"
Wakati unajua kwa dhati kabisa takwimu mpya na za kisasa zipo?
"Kaizer Chiefs 4 Simba 0"

Kazi yako nzuri inaweza kupata hati chafu kwa dhana na mashaka ya "plagiarism" kama ile "thesis" ya bwana yule.
Mkuu mleta mada ni thimba hivyo kutumia takwimu za jana atakufa kwa presha
 
Mkuu mbona unatumia takwimu za kale kujenga hoja za kisasa?
"Simba 5 Mufulira Wonders 0"
Wakati unajua kwa dhati kabisa takwimu mpya na za kisasa zipo?
"Kaizer Chiefs 4 Simba 0"

Kazi yako nzuri inaweza kupata hati chafu kwa dhana na mashaka ya "plagiarism" kama ile "thesis" ya bwana yule.
Hata mechi ya kwanza jijini Lusaka ilikuwa Mufulira Wonders 4 Simba 0!

mrangi anakumbuka hii.
 
Mkuu basi ungejazia nyama ili kuweka kumbukumbu sawa, ijapokuwa bado suala la ukale wa rejea ya takwimu upo palepale
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom