Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa...
81 Reactions
306 Replies
33K Views
Kwema wakuu. Palestine wametepeta, wameshakubali yaishe. Miaka Saba ijayo nchi yote itakuwa imekaliwa na Simba wa yuda Kuwaonea huruma Palestine ni kupoteza muda, kwani watu wanaopigana nao ni...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa...
26 Reactions
840 Replies
89K Views
Habari wadau! Hili ni jambo jema sana pongezi kwa mheshimiwa rais Samia Hassan. Ila nilikuwa namuomba rais kupitia kiti chake aliombe bunge kuangalia upya ile sheria ya kale kamshikaji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mama ana msimamo tofauti kabisa na mtangulizi wake. Hapendi kabisa wananchi kuonewa. Pamoja na kuongea hadharani, lakini hata teuzi zake zimeongea hivyo. Vyombo vilivyotumika na Mwendazake...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanabodi, Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika...
48 Reactions
160 Replies
68K Views
Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho. Kitendo Cha watu huko China kukamatwa...
21 Reactions
104 Replies
10K Views
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya...
23 Reactions
129 Replies
11K Views
Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa. Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba. Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana JF, Leo nimeota ugomvi ukitokea mahali sababu mume amefiwa na mke na kwa mujibu wa dini yake akaoa/anaoa mke mwingine. Hata hivyo mambo sio mepesi ingawa yote yamefanyika kwa MAPENZI...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo. Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Huyu ukiacha tukio lake la kuchapa viboko (tena watoto wa shule) hamna sehemu record ya matukio yake ni njema tu kwa kuwa hakuwa mtu wa visa visa. Yeye anamaliza hapo hapo halafu kwa hekima zenye...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
- Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati akihutubia Wananchi amerudia msimamo wa CHADEMA kutoshiriki chaguzi. Amesema “Hatutashiriki Uchaguzi wowote, bado mifumo ya Uchaguzi ni...
6 Reactions
66 Replies
8K Views
Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba. Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Napenda kumuambia rasmi kaka yangu Zitto Zuberi Ruyangwa Kabwe (Zizou Ziyaye Zinedine Yaziy Zidane) kuwa CCM hatunaga Shuguli ndogo. Kila uchaguzi kwetu ni muhimu na wathamani sana. Sisi siyo...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Chama Cha Mapinduzi kimesema Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kutapatapa na kutafuta mchawi baada ya kuona Jahazi la Chama chake likienda mrama kufuatia matokeo ya awali katika...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Hii imetokea katia kijiji cha Makuyuni tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom