CHADEMA imekufa? Nani huwa anawadanganya CCM?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,390
2,000
Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?

Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?

Wangapi wana smartphone hapo hao wabibi?

Hiyo ni mtama jimbo la Nape najiuliza uchaguzi ukiwa wazi na huru kwa majeraha walionayo watu sijui kama ccm itapona 2025.

Magufuli amekufa kabla ya kuiua Chadema mjiulize why? CHADEMA ni mpango wa Mungu Muda utaongea.

Tukubali tu chama kimechokwa hiki na hakipo!
IMG_20210516_200845.jpg
IMG_20210516_200849.jpg
IMG_20210516_200853.jpg
IMG_20210516_200858.jpg
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,686
2,000
Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?

Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?

Wangapi wana smartphone hapo hao wabibi?

Hiyo ni mtama jimbo la Nape najiuliza uchaguzi ukiwa wazi na huru kwa majeraha walionayo watu sijui kama ccm itapona 2025.

Tukubali tu chama kimechokwa hiki na hakipo! View attachment 1787609 View attachment 1787611 View attachment 1787613 View attachment 1787614
Print hii takataka yako kachambie chooni
 
Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,575
2,000
Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?

Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?

Wangapi wana smartphone hapo hao wabibi?

Hiyo ni mtama jimbo la Nape najiuliza uchaguzi ukiwa wazi na huru kwa majeraha walionayo watu sijui kama ccm itapona 2025.

Tukubali tu chama kimechokwa hiki na hakipo! View attachment 1787609 View attachment 1787611 View attachment 1787613 View attachment 1787614
Mkitano wa mwaka 2010
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
161,484
2,000
Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?

Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?

Wangapi wana smartphone hapo hao wabibi?

Hiyo ni mtama jimbo la Nape najiuliza uchaguzi ukiwa wazi na huru kwa majeraha walionayo watu sijui kama ccm itapona 2025.

Tukubali tu chama kimechokwa hiki na hakipo! View attachment 1787609 View attachment 1787611 View attachment 1787613 View attachment 1787614
CHADEMA FOR LIFE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
104,749
2,000
Mimi hii kauli uwa najiuliza nani uwa anawaingiza king ccm kwa kuwaambia chadema imekufa?

Chama chenye ushawishi hivi unasema kimekufa? Unasema ni chama cha mtandaoni?

Wangapi wana smartphone hapo hao wabibi?

Hiyo ni mtama jimbo la Nape najiuliza uchaguzi ukiwa wazi na huru kwa majeraha walionayo watu sijui kama ccm itapona 2025.

Tukubali tu chama kimechokwa hiki na hakipo! View attachment 1787609 View attachment 1787611 View attachment 1787613 View attachment 1787614
Ccm wengi wao ni watu wa ndiyo ndiyo ili mradi tu siku imepita
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
15,943
2,000
Bavicha kwa kujifariji!

Sasa hapo kuna kipi kipya wakati hata ADC inaweza kufanya mkutano mkubwa zaidi ya huo?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
40,731
2,000
Yaani kuna kitu wanaita nyakati ni kitu kibaya sana
Kila siku nasema ccm inalazimisha kushindana na wakati. Ccm sio chama cha kizazi hiki, na Magufuli alilijua hilo. Kwakuwa alikuwa na chuki ya wazi na cdm, huku akijua cdm ndio yenye mvuto kuliko ccm yake, ilibidi atumie madaraka yake vibaya kuhakikisha anaiua cdm,na akishindwa basi wasisikike kwa wananchi. Alichofanikiwa ni kushurutisha ccm kukaa madarakani kwa mabavu, lakini hakufanikiwa kuifanya ccm iwe na mvuto. Ila kwakuwa hakuna uwezekano wa kuzuia mabadiliko, lazima cdm itachukua nchi hii ccm itake isitake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom