Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwa Chato wakati wa kuwanadi wagombea wa CCM ameonya kwamba kuna wazushi wanasema kwamba CCM inatafuta viti vingi vya Ubunge ili wakiingia Bungeni...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE. Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kwa ufupi kilichotokea jana - kwa wale ambao labda wanahitaji tafsiri zaidi - ni kuwa Rais amesema tuhuma zinazomkabili Mkuu wa Mkoa wa Dar Bw. Paul Makonda hazijamfanya...
52 Reactions
216 Replies
19K Views
Ni swali limenijia kuhusu haya matukio ya kumbukizi ya viongozi wetu waliotangulia mbele za haki. Ni vigezo gani hutumika kufanya kiongozi afanyiwe kumbukizi annually? Je, ni Sokoine, Nerere na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejisikia vibaya baada ya spika Ndugai kuwauliza wabunge kuwa ni lini walipitisha Sheria mbaya na kandamizi ya kutaifisha mifugo pale wanapoingia katika hifadhi. "Hivi hii Sheria ilipitishwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
NIDA wameshindwa kabisa kuendana na kasi ya wahitaji vitambulisho nchi.Wanaoomba kupewa vitambulisho kwa mara ya kwanza au waliopotelewa na vitambulisho hivyo wote kwa sasa wanapewa namba tu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Dada Ummy sina shaka na utendaji kazi wako lakini nakushauri upunguze kujieleza kwa sababu maelezo unayotoa yanakufunga. Mtangulizi wako pamoja na kuwa na maneno mengi lilipokuwa linakuja suala...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniface Getere, amesema haiwezekani kuzungumza habari ya Kilimo cha Pamba, Korosho na Alizeti miaka nenda rudi, lakini hakuna kinachotatuliwa. Akichangia majadiliano ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbunge Viti Maalum (CCM), Mwanaisha Ulenge, ameshauri iundwe taasisi huru itakayodhibiti utendaji wa Serikali. “ili tuweze kuidhibiti na kuisimamia Serikali, hatuoni haja ya kuwa na taasisi...
25 Reactions
70 Replies
5K Views
Hii ni moja ya taasisi zinazolalamikiwa kupitiliza. Mtu analığa kodi, na hiyo kodi nayo sasa mnaenda kuipoteza. Hawa watu siwaelewi kabisa. So sad. Huu mchezo wa kulazimisha na kubambika kodi...
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura Pichani kuwa msaidizi wa Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8,mwaka huu, 2014. Taarifa...
16 Reactions
213 Replies
60K Views
Sekta binafsi ndiyo mwarobaini wa ajira nchini. Nchi za ulaya pamoja na kuwa na teknolojia pamoja na wataalamu lukuki lakini hazijafikia kiwango cha kuwa na madaktari wanaozurura mtaani, walimu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa jinsi ninavyoona muelekeo wa serikali baada ya kifo Cha JPM na kumpata Rais mpya Mama Samia Suluhu, ni wazi sasa panga pangua ya safi ya uongozi unaendelea ili mama apate cream yake ya...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Hakuna watu wa ajabu na wakupuuzwa kama hawa hasa wakiwasha MIC. Leo yule alikuwa Waziri wa Viwanda anasema bungeni nchi haiwezi kwenda haina viwanda huku wakati ye Waziri wa Viwanda...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Spika wa bunge mh Ndugai amesema anakerwa sana na kitendo cha Serikali kuchukua fedha za halmashauri bila taarifa na kwenda kuzitumia huku miradi ikidorora. Ndugai amesema haoni mantiki ya...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ninawasalimu ndugu zangu, Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio...
27 Reactions
162 Replies
8K Views
Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao. Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na...
17 Reactions
124 Replies
10K Views
MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE AUSOMA UPEPO CCM - Arusha muda huu: "Viongozi wa Chadema waliniambia nina misimamo mikali,nikawaambia kama mnataka misimamo milaini basi naomba nijiuzuru"-...
1 Reactions
3 Replies
865 Views
Back
Top Bottom