Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HONGERA MAMA SAMIA KWA MPANGO WA MAPITIO YA SHERIA 22 KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh.Rais Samia Suluhu Hassan iko katika mchakato...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Mfano mzuri ni Mhe Lowassa. Alipokuwa CCM kuna waliompenda na kuna waliomkosoa kwamba ni fisadi mkubwa sanaa. Akabadili jezi ikawa vice versa. Mfano wa pili ni Nyarandu vivo hvo amebasili jezi...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake '...
38 Reactions
72 Replies
6K Views
Habarini wadau, Serikali ya awamu ya tano pamoja na serikali ya awamu ya sita imekuwa ikisisitiza sana kwenye viwanda, kuongeza ajira pamoja na kusisitiza sana watu kujituma kufanya kazi na...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na mkakati wake mpya wa kudai haki kwa njia ya amani kwa kushinikiza uwepo wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , vikao vya ndani...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Na Chotipembe Ntuguja. Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho. Chanzo chetu cha...
4 Reactions
252 Replies
22K Views
Makanda Pipo's power? Jana nimefedheheka sana maana kama kusalitiwa basi tumesalitiwa na chama chetu vibaya sana. Wabunge waasi tuliwafukuza, wakakata rufaaa ambayo ilipaswa kusikilizwa ndani...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Kaandika hivi kupitia twitter: Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda...
21 Reactions
73 Replies
5K Views
Nasema hivi, hatutakuja kupata tena nafasi nzuri na kwa muda muafaka wa kutengeneza katiba mpya iliyo nzuri kama sasa, namaanisha wakati wa utawala wa rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassan...
2 Reactions
8 Replies
998 Views
Ni ukweli usiopingika kwamba chama pekee chenye walau rasilimali za kutosha kuweza kupambana na CCM kwenye ulingo wa siasa za Tanzania ni Chadema. Hata hivyo kwa mtazamo wangu chama hiki lazima...
1 Reactions
0 Replies
707 Views
Job Ndugai ni mwanachuo mwenzangu pale UD miaka hiyo. Mengi yasiyopendeza yamesemwa dhidi yake kwa nafasi aliyo nayo, hasa kwa namna alivyolifuta Bunge na kulifanya kuwa idara ya SerikaliRais...
26 Reactions
77 Replies
6K Views
Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu? Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali? daah noma kweli
6 Reactions
127 Replies
16K Views
Kumekua na mitazamo hasi inayokosoa kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula aliyoizungumza jana Mei 25, 2021 Siku ya Afrika Duniani kwa kusema "Tanzania ni mwana chama hai wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
HAKI na UHURU VIMEUMANA! Maneno "haki" na "uhuru" yameanza kusikika kwa kasi toka midomoni mwa watawala na Viongozi wetu. NAWAPONGEZA. Hakuna aliyepiga marufuku matumizi ya maneno haya lakini si...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati hawajitolei. Ametoa kauli hiyo leo Mei 25...
1 Reactions
133 Replies
19K Views
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Hakuna asiyejua kuwa mikutano hii ilipigwa ban kimagumashi na mapolisi kushikilia bango na bado haki hii kikatiba imebamizwa kwa visingizio hivi na vile. Tunahitaji Rais Samia autangazie umma...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka? Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa. Ujambazi, uporaji na...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi. Lakini naona wanarudi...
5 Reactions
87 Replies
5K Views
Back
Top Bottom