Tathmini ya kazi iendelee: Tuanze na makusanyo ya kodi

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,661
18,035
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti.

Mwitikio ukoje?
 
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Kwa sasa baadhi ya vituo vya mafuta havitoi stakabadhi, unaambiwa karatasi au wino umekwisha. nenda PUMA kawe, petroafrica Bunju, oilcom na nk utaona mwenyewe.
 
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Mlizoezwa uzandiki.Peleka huko uzandiki wako.Hii siyo awamu ya kujipendekeza.Mfuateni huko mkasifie.
 
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Sasa wewe si ukalipe kwenye hizo biashara zako, hii nchi imekuwepo kitambo tu, makodi ya hivyo ya mwendazake yaliua uchumi, na hela alikwapua akapeleka anapopajua,bado kelele za kijinga zinaendelea
 
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Subiri hadi janury
 
Aneomba muda wa kuweka sawa mambo ikiwemo takwimu za kupikwa
 
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti.

Mwitikio ukoje?
1622112058020.png
 
Subiri hadi janury
Hadi Januari itakuwa too late!! Lazima tujue mwelekeo Wa makusanyo ya kodi mapema ili kama kuna kasoro mahali irekebishwe mapema! Hatutegemei makusanyo kushuka kuliko mwaka Jana! Utaratibu Wa kutangaza màkusanyo kila mwezi kwa wakati uendelee, vinginevyo TRA watalala na wataishia kupokea rushwa tu. Hatutakubali tarakimu ya billions, ni trillions tu ili kazi iendelee.
 
Mama 2025 amuachie January Makamba (huyu ni soft version ya Magufuli watu awajamuelea tu, lakini ana maamuzi and result oriented) au Mwinyi kama kuna unauwezekano wa ku swap; hiyo nafasi ni kubwa kwakwe V.P Tanzania is meant to be a ceremonial post but then accidents do happen in life.
 
Back
Top Bottom