Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amesema Chadema ina imani na mwenendo wa Rais Samia. Hata hivyo Mbowe amemshauri Rais Samia kutoruhusu watu wachache kulichezea bunge na mahakama kwani michezo yao...
1 Reactions
2 Replies
818 Views
Nimeona Tangazo kwenye jumbe za watsapp ikionesha kuwa kitakuwa na mjadala kuhusu wimbi la tatu la corona nchini Tanzania. Katika mjadala huo nimeona mwenyekiti wa MAT pamoja na Mwenyekiti...
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Rais Mstaafu awamu ya nne, Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete ameshiriki kuwatunuku Degree kwenye duru ya kwanza ya mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar...
26 Reactions
108 Replies
15K Views
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan iko katika mchakato wa kushirikisha wadau mbalimbali katika kufanya mapitio ya sheria 22 chini ya Wizara ya Viwanda na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Na Maandishi Wetu Katibu wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Ngemela Lubinga Leo Alhamisi Mei 27, 2021 ameshiriki kongamano la kidunia la vyama vyenye mlengo wa Kijamaa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baadhi ya Mazimio ya kikao cha pamoja RC Homera na Wamiliki wa Daladala,Bajaj na Wadau wa Usafirishaji Mbeya. ~ Bajaj mwisho kupakia watu 3 ~ Bajaj haziruhusiwi kuchukua abiria njiani ~ Ndani ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya...
2 Reactions
3 Replies
925 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha. Mbowe amesema...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums) Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela...
17 Reactions
141 Replies
15K Views
Kuna kautulivu flani unakaona kwenye nchi, kuna kauhuru flani unakaona kuanzia vijiweni,makazini,barabarani na kwenye mitandao ya kijamii watu wakijadiliana mambo kwa Uhuru bila kukamatwa na...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha. Akiwa Bungeni, amesema...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimeitazama ile video ya Mheshimiwa Job Ndugai inayotembea mtandaoni, anasema serikali ipunguze kuingilia kila kitu. Anatua maneno watu waachwe wajinafasi na sio kila wakipita wanakutana na mkono...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Katika kuzurula mitandaoni nimegundua kuna taarifa toka nipashe ikisema serikali yaruhusu kilimo cha ndumu! Je, ni kweli kuwa hilo limeazimiwa rasmi? ====== Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Nipo mjini Njombe kwa zaidi ya wiki moja sasa. Njombe ni mji mzuri wenye shughuli nyingi za uchumi. Shughuli za uzalishaji wa mbao, kilimo cha parachichi na vanilla ni miongoni mwa zile...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania Afande IGP Simon Nyakoro Sirro leo Mei 26, 2021 amefanya kikao kazi na Maofisa na Askari wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni. IGP Sirrro ametoa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
TANZANIA NI MWANACHAMA HAI WA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA The Diplomat Kumekua na mitazamo hasi inayokosoa kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula aliyoizungumza jana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Ujenzi wa Viwanda ndio jibu sahihi la kupunguza changamoto ya Ajira Nchini kwa ngazi zote. Amesema, "Changamoto ya Ajira ipo duniani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema tangu Uhuru, Tanzania imepiga hatua kubwa mpaka kuingia Uchumi wa Kati lakini bado yapo matatizo hasa katika eneo la...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani! Suala la wakuu wa shule kutuma majina ya walimu wanaojitolea ofisi ya Rais-tamisemi kwa lengo la kupatiwa ajira ni ubaguzi na siyo haki kabisa. Kama mtakumbuka baada ya ajira kuwa ngumu...
28 Reactions
162 Replies
21K Views
Back
Top Bottom