Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Historia inaonyesha nchi nyingi zilifanikiwa kuvunja mzunguko wa utegemezi kwa kuanzisha viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali. Serikali ya Awamu ya Tano ilijenga msingi mzuri wa Sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mkuu! Nakusihi ewe Tumaini letu uchunguze hili kupitia vyombo vyako urudishe tabasamu la wafugaji wa ngombe za nyakanazi. Mkuu zilikamatwa ngombe nyingi ambazo ziliingia eneo la maliasili (Japo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!! Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Katika Taifa moja, kuna wakati watu waliambiwa, "Taifa hili ni tajiri. Ninyi ni matajiri". Wengi wakaamini. Wakaamini kuwa ghafla wamekuwa matajiri. Japo wengine hata kupata milo miwili ni shida...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Aikael Mbowe amezindua mfumo wa kidigital kwa ajili ya shughuli za Chama chao. Mfumo wa kidigital unasaidia kutunza kumbukumbu za Wanachama, kuratibu malipo ya...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Dodoma kuwa makao makuu ilitakiwa kazi ifanyike na itiliwe mkazo kwa ustadi toka awamu ya Kwanza ya utawala, kulazimisha sa hv Kuhamishia kila kitu kwenda Dodoma ni kuumiza rasilimali fedha ya...
23 Reactions
90 Replies
10K Views
Wadau wa JF Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Imoja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema Chama hicho kikisema kinajenga uadui wa kudumu na watu waliohama, watakuwa haitakii mema Nchi. Amesema, "Tunatakiwa tuwapokee wote, waliokimbia...
32 Reactions
186 Replies
13K Views
Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50. Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo? Tumeshuhudia vituko vingi...
19 Reactions
102 Replies
9K Views
Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine. 50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Leo tarehe 28 Mei 2021, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu Ado amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa wa Sweden Ndugu Janine Alm Ericson...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko yamekuwepo malalamiko kutoka wadau mbalimbali kuwa Sera, Sheria na Kanuni zilizopo zimepitwa na wakati Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Freeman Aikael Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa Arusha licha ya kutumia muda mwingi kumsimanga JPM, ambaye hawezi kujitetea tena amemjaribu Rais Samia Suluhu Hassan. Freeman Mbowe amesema...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Dr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana. Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha. Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua...
12 Reactions
32 Replies
4K Views
Kigwangwala ni moja wanasiasa vijana machachali wa zama hizi ambaye safari yake ya kisiasa uhenda ndio imemalizika. Naona anatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuweka mambo sawa kulinda jina lake...
11 Reactions
31 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema chama chake kimeshindwa kuwalipa mishahara makamanda kwa miezi 6 sasa na kuwataka wajifunze jinsi ya kujitegemea. Mbowe amesema chama kinajipanga...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom