Waziri Mkuu, Naibu Spika, Mawaziri wanailaumu serikali wanayoiishi

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Hakuna watu wa ajabu na wakupuuzwa kama hawa hasa wakiwasha MIC.

Leo yule alikuwa Waziri wa Viwanda anasema bungeni nchi haiwezi kwenda haina viwanda huku wakati ye Waziri wa Viwanda alituaminisha alisimamia uanzishwaji wa viwanda 400.

Kule Mbozi Hasunga alikuwa Waziri wa Kilimo analia bei ya kahawa ndogo huku pembejeo zikiwa juu

Juzi Tulia analia Mbeya miundo mbinu mibovu inasababisha mgomo wa Daladala na Bajaj.

Leo Waziri Mkuu akiwa SUA analamika ajira hakuna sababu hatuna viwanda vya kutosha.

Hawa wote CCM
 
Wapinzani wametuchelewesha Sana.
Spika/Naibu watoke nje ya bunge.
Mawaziri nao pia
 
Hawa viongozi wameshatuona kama misukule yao tu ambao hatujitambui!!yaani awamu hii hata hata spika naye amekuwa mkosoaji mkubwa kweli! leo anasema ranchi ya kongwa imekufa na toka lini serikali inajiingiza kwenye ufugaji?
 
Mwendazake angelivunjilia hili bunge, aliloliunda, kisha akaendesha nchi bila bunge. Binafsi ningemshabikia, angetukumbusha, ndugu zangu tumechezewa SANA na hawa wasiowazalendo...

Everyday is Saturday.............................. :cool:
 
Wao sindio wamebinafsisha viwanda sasa kwanini leo analalamika? Mungu tuhurumie waja wako
 
Mwendazake angelivunjilia hili bunge, aliloliunda, kisha akaendesha nchi bila bunge. Binafsi ningemshabikia, angetukumbusha, ndugu zangu tumechezewa SANA na hawa wasiowazalendo...

Everyday is Saturday.............................. :cool:
too bad hakuna serikal isiyo na bunge. bunge liko likatiba.
 
Nafikiri viwanda vingi,vilikuwa vile vya 'cherehani 4' according to yule 'waziri wetu mstaafu MC wa viwanda'..... kazi iendelee.
 
Mwendazake, angelivunja kibabe, na hangetokea wa kuhoji katiba. Lumumba wangesema yupo sawa.

Everyday is Saturday............................... :cool:
there are lines asingeweza ku cross. moja wapo ni hilo kuondoa muhimili wa serikal na kuongoza anavyotaka.
angevuruga nchi.. and probably other third parties wangeingilia kati.

he was not everything as he potrayed
 
Back
Top Bottom